Pre GE2025 Katibu Mkuu wa Chama cha DP, Abdul Mluya: DP tutashiriki uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Hivi ni vyama bandia wala hatushutuki.

Vyama ambavyo hata tawi moja havina vinatusumbua kwa lipi?
 
Ccm daima Samia mitano
 
Chama cha kwenye sandarusi
 
Hata akishiriki ataambulia Zero tu kwa mfumo huu wa uchaguzi ambao Magufuli na Mama wameamua uwe ni wa kiimla.
 
Kwani hapo kuna chama au mtu.
 
Hicho chama kilishakufa toka alivyofariki Mtikila huyo Mluya huwa anatumika tu kutoa matamko ya kuishutumu Chadema au kuiunga mkono CCM akitoka hapo anapewa milioni moja anarudi kunywa kahawa kijiweni.
 
ම chama makini
 
HIZI TAKATAKA MAVI ETI NI MWENYEKITI
 
Dp ndio chama gani hicho Tanzania?
 
Chama cha mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…