Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Frederick Sumaye

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM mstaafu, kumtembelea Balozi Nchimbi ofisini kwake, leo Jumatatu tarehe 24 Februari 2025.

IMG-20250224-WA0013.jpg
 
well done :KasugaYeah:
 
Anamuibia siri za chadema siyo au anamuomba akaongee na chadema
 
Anaombwa aende kumbembeleza Lissu na Heche wapunguze Kasi.

CHADEMA shikilia hapo hapo.
 
Back
Top Bottom