Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
well doneKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM mstaafu, kumtembelea Balozi Nchimbi ofisini kwake, leo Jumatatu tarehe 24 Februari 2025.
Alirudisha mpira kwa kipa πHivi bado Yuko kyadema?
Anamuibia siri za chadema siyo au anamuomba akaongee na chademaKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM mstaafu, kumtembelea Balozi Nchimbi ofisini kwake, leo Jumatatu tarehe 24 Februari 2025.
Sasa mikakati gani na wazee kama kina sumaye?Mipango mikakati π
Ova
Hivi huwaga wanazungumza Nini?