Ni kwel hawana pesa so wanasubiria mwaka ujao wa fedha,wengi wataitwa kuanzia mwezi wa 4 mwakani ili ifikapo mwaka wa fedha 2013/2014 ndo waingizwe kwenye payrol,so bora mtu atafute sehemu ajishikize akisikilizia!
Hahahahah kwan huwa sikuungi mkono? Umesema ukwel mwenyewe nimezipata taarifa hizo kutoka mtu wa ndani humo serikalin,wengi tumejiattach private tukisubiria hizo chance....
Yana kinabore kinakera kwanza unaitwa kwenye interv unaambiwa kuna timu ya simba na yanga tafsir yake ni nini? Kiyu kingine wafanye selection yao kwanza kabla ya kuwaita watu kibao tunateseka na ndo mana tunazid kuwa masikini mana hata kidogo ulichonacho ni nauli ya kufanya interv ambazo hazieleweki.