katibu mkuu wa shirikisho la wafanyakazi asimsifia jk katika sherere za mei mos Mwanza

katibu mkuu wa shirikisho la wafanyakazi asimsifia jk katika sherere za mei mos Mwanza

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,536
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), Nicolaus Mgaya., amemsifia rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa katika awamu yake ya uongozi unaokaribia miaka kumi sasa amaetatua kero nyingi za wafanyakazi.
Mgaya ameyasema hay oleo katika uwanjwa wa ccm kirumba wakati wa kuazimisha sherehe za wafanyakazi nchi amabpo kitaifa yalifanyika jiji humo. Amesema katika wamu hii ya JK ameboresha matatizo ya msingi ya wafanyakazi na kwa kutunga sheria zenye misingi ya haki kwa wafanyakazi.

Bwana Mgaya amesema sheria ya mahusiano mema kazini kati ya waajiri wa wajiriwa imeimalisha mahusiano mazuri amabyo yameondoa shaka zilizokuwepo baina ya pande hizo mbili, pamoja na kuunda tume ya usuluhishi na maamuzi amabayo imetatua kesi nyingi za wafanyakazi makazini, ambapo mpaka sasa tume hiyo imeshasikiliza jumla ya mashauri zaidi ya elfu kumi na zaidi ya elfu sita yameshatolewa uamuzi.

Pia bwana Mgaya amempongeza Jk kwa kwa kuimarisha uhusiano wake na mabaraza ya wafanyakazi ambapo kwa mwak a amekuwa akikutana nao mara mbili katika kutatua kero na kuondoa sheria kandamizi za wafanyakazi, amesema hilo linatosha kuonyesha ushirikiano wa rais Jk kwa vyama na mabaraza ya wafanyakazi ambapo huko nyuma haukuwepo zaidi ya rais kukutana na wafanyakazi wakatika maadhimisho tu ya siku kama ya leo
 
Back
Top Bottom