Shekhe Ponda kakamatwa akiwasemea waislam, kwahio jambo hilo huwezi litenganisha nadini.Nenda vituo vya polisi na magereza Kuna watu wa dini zote wamekamatwa na kufungwa uko, usichanganye dini kwenye swala la mtu binafsi
Hao akina mwamposa wamefanya Nini kinachofanana na sheikh ponda.?Huyu Mzee anaonewa mno mbona hatuajaona akina mwamposa akikamatwa Kwa style hii??
Kakamatwa kwa sababu ya waraka ,suala hilo huwezi litenganisha na dini maana alikuwa anawasemea waislam wanyonge walioshindwa kupaza sauti zao.Kwan kukamatwakwa ajili ya mahojiano kuna tatizo gani??? Sheria haina ubaguzi kama akihojiwa na akaonekana hana hatia ataachiwa na kama ataonekana ana makosa atawajibika kwa mujibu wa sheria !yani hata kama polisi wana mambo ya kumuuliza wasimhoji kwa sababu yeye ni shekhe ???
Mbona kada zote tu Kama wamerogwa vile, Hakuna afurukutae.waislamu siku hizi ni wazembe huwezi kuwatofautisha na watumishi wa umma wanaopunjwa mishahara yao.
Sawa !mimi ninachouliza ukiandika waraka unawakilisha wanyonge ndo hutakiw kuitwa na Polisi ukahojiwe kama kuna mambo wanataka kujiridhisha ????Kakamatwa kwa sababu ya waraka ,suala hilo huwezi litenganisha na dini maana alikuwa anawasemea waislam wanyonge walioshindwa kupaza sauti zao.
Waraka umetolewa na shura ya maimamu, kwa nini wasiitwe wote waliohusika nawaraka nabadala yake avamiwe katibu wajumuiya akitokea zake msikitini na kukamatwa, kwa nini hakutumiwa ujumbe kwamba anahitajika police Kama wanavyofanya kwa viongozi wadini nyinginezo ?.Sawa !mimi ninachouliza ukiandika waraka unawakilisha wanyonge ndo hutakiw kuitwa na Polisi ukahojiwe kama kuna mambo wanataka kujiridhisha ????
Waraka tumeusoma nayalimo ndani yawaraka niukweli mtupu.Hivi huo waraka wenyewe mmeusoma? Au mnasema tu kwa sabab zitto kabwe kapost #freePonda ???
Sasa kuna tatizo gan Polisi kwenda kumhoji juu ya huo ukweli???Waraka tumeusoma nayalimo ndani yawaraka niukweli mtupu.
Yani mkuu unawapangia polisi namna ya kufanya kazi? Wao ndo wanajua kwann wamkamate akiwa anatoka msikitini na kwann akamatwe yeye tu na sio wajumbe wote!Upolisi ni taaluma mkuu sio sanaa...kika wanachokifanya kinaendana na uchambuzi wa mtu husikaWaraka umetolewa na shura ya maimamu, kwa nini wasiitwe wote waliohusika nawaraka nabadala yake avamiwe katibu wajumuiya akitokea zake msikitini na kukamatwa, kwa nini hakutumiwa ujumbe kwamba anahitajika police Kama wanavyofanya kwa viongozi wadini nyinginezo ?.
Polisi wanapangiwa kufanya kazi kwa mujibu washeria na taratibu, na sheria za ukamataji hapa nchini zinafahamika.Kama wanazikeuka lazima waambiwe ukweli kuwa wanafanya uonevu nadhamira yao mbovu iliyonyuma ya waliotuma inafahamika.Yani mkuu unawapangia polisi namna ya kufanya kazi? Wao ndo wanajua kwann wamkamate akiwa anatoka msikitini na kwann akamatwe yeye tu na sio wajumbe wote!Upolisi ni taaluma mkuu sio sanaa...kika wanachokifanya kinaendana na uchambuzi wa mtu husika
Tatizo lipo kwasababu viongoz waupande mwingine wakizungumza kama aliyoyawakirisha Shekhe Ponda hawaitwi wala kuhojiwa popote, kwahio tatizo lashekhe Ponda sio ukweli aliouzungumza bali ni uislam wake.Sasa kuna tatizo gan Polisi kwenda kumhoji juu ya huo ukweli???
Ndo mana nmekwambia upolisi ni taaluma ..ukamataji unaendana na uchambuzi wa kimazingira kuhusu mtu !ukamataji wa mtu hutegemea na huyo mtu yupoje .....waache wamhoji tu wala usianze kuhusianisha mambo ya waraka na udini !!!kumbuka kilichomfanya akamatwe ni waraka na sio dini yakePolisi wanapangiwa kufanya kazi kwa mujibu washeria na taratibu, na sheria za ukamataji hapa nchini zinafahamika.Kama wanazikeuka lazima waambiwe ukweli kuwa wanafanya uonevu nadhamira yao mbovu iliyonyuma ya waliotuma inafahamika.
Hao wanaunga mkono juhudi wanaombea tu.Na wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
Madhara ya kinachozungumzwa yanatofautiana !sio kila anapozungumza mtu akamatwe ila akizungumza jambo linalohitaji maelezo lazima akamatwe na ahojiwe ....Tatizo lipo kwasababu viongoz waupande mwingine wakizungumza kama aliyoyawakirisha Shekhe Ponda hawaitwi wala kuhojiwa popote, kwahio tatizo lashekhe Ponda sio ukweli aliouzungumza bali ni uislam wake.
Nchi hii iko salama mikononi mwa kanisa katoliki-Paul Makonda.
Nidini yake wala sio waraka, ndio maana watu Kama Gwajima wanahamasisha tumchague magufuli kisa nimkristo mwenzetu na msukuma mwenzetu lakini hawakamatwi, Askofu Bangoza anawaambia watu waandamane kudai tume huru ya uchaguzi lakini hakamatwi, lakini shekhe Ponda anaezungumzia Serikali itende haki kwa kila mtanzania nakuoanisha namna haki inavyominywa na uwiano usio sahihi miongoni mwa jamii anakamatwa , hapo ndio tunaona kuwa tatizo nidini yake nawala sio waraka wakeNdo mana nmekwambia upolisi ni taaluma ..ukamataji unaendana na uchambuzi wa kimazingira kuhusu mtu !ukamataji wa mtu hutegemea na huyo mtu yupoje .....waache wamhoji tu wala usianze kuhusianisha mambo ya waraka na udini !!!kumbuka kilichomfanya akamatwe ni waraka na sio dini yake
Wewe sio muislamu acha kudanganyaWaraka ujinga, waislamu tunataka tume huru! Kwani kuna chama cha kiislamu kina mgombea wake? Acheni ujinga,vyombo vya dola vipo macho,havitakubali chokochoko hizi,atawekwa ndani hadi uchaguzi uishe. Kwani wale mashehe wa uamsho wapo wapi. Endeleeni kupiga kelele zenu.
Mpenda Amani
Stesheni
Atakamatwa mtu kutoka dini ile lakini sio mkristo mwenzetu.Madhara ya kinachozungumzwa yanatofautiana !sio kila anapozungumza mtu akamatwe ila akizungumza jambo linalohitaji maelezo lazima akamatwe na ahojiwe ....