Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

Nimesoma huo waraka sioni tatizo lolote. Hizo ni hoja zinazopaswa kujibiwa na siyo kuzigeuza kuwa uchochezi. Mbona maaskofu huwa wanatoa nyaraka na hawakamatwi?
 
Sitaipigia kura ccm hadi masheikh wanaoshikiliwa washitakiwe
Mkuu dawa si kuacha kupiga kura bali ni kumshauri Rais kutambua umuhimu wa kujenga jamii moja isiyo na ubaguzi wa kidini kwenye ajira na elimu!! tumwambie Rais kuwa penye moshi pana moto siku moja nchi haitatawalika mfumo kristo ukitamalaki!! huyu ni Rais mzuri tumsifie kwa mazuri yake na tumsaidie kuona mapungufu yalipo mfano mimi huwa akiteua nahesabu waislam wangapi wakristo wangapi!!
 
Nimerudia tena kuusoma waraka !aisee Jeshi la Polisi lisiishie tu kumkamata shekhe Ponda bali apelekwe mahakamani kabisa !!huwezi kuandika waraka unaozaa chuki kiasi kile halafu uachwe tu unadunda mtaani !!
we dini gani mkuu?
 
nimekuelewa kula like nyingine
 
Wewe sio muislamu acha kudanganya
Una darubini ya kujua huyu ni muislamu na huyu si muislamu hapa jamii forums? Kwani kila muislamu lazima akubaliane na huo waraka au wewe ndio wale wa mihemko ukidhani kila muislamu atahemka kama wewe!
 
You are just talking shit and rubbish. Kwanza na wewe omba radhi kwa kumtukana Nyerere maana umerithishwa chuki za kidini ambazo kimsingi Nyerere alikuwa anazikemea waziwazi. Unajiita msomi halafu andiko lako limejaa ujinga mtupa. Kwa ufupi huna hoja na huwezi ku-argue critically bali kwa mihemko ya udini.
 
Kweli kabisa ...ni ujinga mtupu wanaorithishwa na wapuuzi wachahe
 
d
dawa ishakuingia, tulia sindano ikuingie vizuri! i must admit wewe umesoma bongo tu mnapokaririshwa ujinga!! ukisoma nje unajitambua!! hakuna ulazima kutulazimisha kumuabudu Mwalimu aliejenga misingi ya mfumo kristo!! waislam ndo maskini nchi hii na sababu ni Mwalimu!!
 
Wanalalamika kuondolewa kwnye nafasi au kutokuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali sasa kama hauko cimpetent uchaguliwe tu kisa we ni muisilamu??upuuzi kabisa
 
d

dawa ishakuingia, tulia sindano ikuingie vizuri!
Na kwa taarifa yako tu hata waje marais waislamu watatu waongozane kushika madaraka kamwe hayo matamanio yenu ya kutaka kugeuza Tanzania kufanya kazi kwa misingi ya udini haitafaulu kamwe sana sana mtaambulia kuchakazwa tu.
 
Na kwa taarifa yako tu hata waje marais waislamu watatu waongozane kushika madaraka kamwe hayo matamanio yenu ya kutaka kugeuza Tanzania kufanya kazi kwa misingi ya udini haitafaulu kamwe sana sana mtaambulia kuchakazwa tu.
Mkuu muulize Zanzibar wanakoongoza Marais waisilamu tu kuna nn cha ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…