Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

Hivi bado hajaachiwa? Kwa nn polisi hawakamati kwa mfano ccm ambao wanapanga kuua wenzao tena wanaapa hadharani huku mtu mwadilifu km Ponda wanamsumbua kwa nini?
 
Na wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
KUNA YULE ASKOFU BAGONZA
ASKOFU BAGONZA ANAKICHAFUA KWELI KWELI LAKINI YUPO TU ,
PONDA KATOA WARAKA MMOJA TU TUPO KOROKORONI
 
Kwa ule waraka wakimwachia naandika barua kwa Rais kumshtak IGP
Mnatakiwa kudeal na ukweli uliosemwa sio kuhangaika na mtu.........kwa nn ccm ambao wanachochea chuki na mauaji hawakamatwi lkn watu waadilifu na wanaopenda nchi yao km Ponda ndio wanakamatwa? UNAJUA SABABU NI NINI HASA?
 
Kiukweli ule waraka umegusa maeneo yote nyeti halafu umetolewa wakati muafaka hapo ndio maana wamechanganyikiwa wasije kutibuliwa siku za mwishoni.
Yule sheikh ni kichwa sana,yaani Tanzania ingekuwa na vichwa Milioni moja tu kama yeye nchi ingenyooka.
 
Kwa kusoma tu michango mbalimbali nimegundua watanzania tunapenda kushabikia Mambo ya udini.Jamani haya Mambo yanaweza kugharimu jamii.Litokeapo tuache ushabiki.
 
Mnatakiwa kudeal na ukweli uliosemwa sio kuhangaika na mtu.........kwa nn ccm ambao wanachochea chuki na mauaji hawakamatwi lkn watu waadilifu na wanaopenda nchi yao km Ponda ndio wanakamatwa? UNAJUA SABABU NI NINI HASA?
Mambo ya CCM yanakujaje kwenye upuuzi ulioandikwa kwenye ule waraka !!mtu muadilifu ni yule anayejua madhara ya chuki na udini !anayeipenda nchi angehubiri umoja na mshikamano sio kuchambua mambo yasiyoeleweka !!mi nasema shekhe ponda anastahili kuvuna alichokipanda mana amekuwa na historia ya kujifanya anawatetea waisilamu kwa kuingiza udini
 
Wanalalamika kuondolewa kwnye nafasi au kutokuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali sasa kama hauko cimpetent uchaguliwe tu kisa we ni muisilamu??upuuzi kabisa
Kipindi wakristo tunalalamika NSSF wamejaza waislam watupu, hao waislam waliokuwepo pale hawakuwa na vigezo?.
 
H
Kiongoz mkuu wa shura ya maimamu kaukana waraka ila shekhe ponda kwa kiburi akakubali aliandika
HIi ndio sifa ya muislam wa kweli, unapaswa kumuogopa ALLAH na si binadamu, maisha yetu hapa duniani ni mafupi mno
 
Bakwata ni jumuiya ya CCM kama ilivyo ya Wanawake au vijana...... Sijui lini watahamishia makao makuu yao Dodoma!!?

Nahusudu Bakwata waingine katika 18 zangu nitawapopoa mawe. Siwapendi . Wale ni mapandikizi ya CCM. mimni ni mwislamu lkn bakatwa ni kirusi cha Korona. Wamelaaniwa na Allah.
 

Serikali l;azima ijitafakari katika kutekeleza wajibu wake. Isibague kama inakamata watu baadhi na wengine inawaachia kwa sababu ya dini hakika itakuwa inakosea sana. mambosasa na Siro minzania ya haki imo ktka mikono yenu. lazima mjitafakari. Mtaichafua nchi
 
[emoji1241] yetu sote, Jah awe nae mja wake huyu, ila mmmmh hali ni mbaya kwakweli lol
 
Kwa kusoma tu michango mbalimbali nimegundua watanzania tunapenda kushabikia Mambo ya udini.Jamani haya Mambo yanaweza kugharimu jamii.Litokeapo tuache ushabiki.
Wengi hawatakuelewa kwa hili lakini ndio tatizo letu kuu mojawapo. Shk. Ponda katoa waraka sisi tunatakiwa tuutafakari na ama tumuunge mkono kwa alichosema au tumponda kwa alichosema. Lakini huwezi kumuunga mkono au kumponda kwa uislamu wake. Kuna vipengele unaweza ukaona yuko sawa kwa mf. yeyote anae elewa maana ya tume huru hawezi kuona tatizo na tume kama hiyo labda kama ni mnufaika wa tume ya sasa. Kipengele kama kile cha UDOM ni swala la uwepo wa msikiti hapa utategemea waislam ndio wawe mbele kutetea (iwe halali au vinginevyo), hivyo serikali ikichukua hatua hakuna cha kushangaza kuona wengi wa waathirika ni waislam. Hapa tunarusi kwenye sheria zetu na jinsi serikali yetu inavyo heshimu sheria hizo. Sijui kama hili ni swala la waislam vs dini nyingine. By the way aliekuwa acting VC baada ya kufariki kwa VC ambaye ni wa dini ya kikristo aliondolewa pale UDOM. Bahati mbaya hakuna anaelisema hili. Na ukichunguza kwa undani utarudi kule kule CCM na inavyo endesha utawala wake.
Sasa ona Ponda kaandika waraka na inaelekea hayuko peke yake, lakini wenzake hao hao wanaukana waraka. Na wananchi hata wanaomuunga mkono tunabaki kupiga kelele za chini chini na kugeukiana. Ukondoo wetu ndio unaofanya watawala wafanye watakavyo.
 
Kwa hiyo unasema magaidi ccm ndio waachwe tu.......huku Ponda anayesema ukweli ndio aonewe? Huu ushetani ccm mnafaidika nao vipi labda
 


Mzigo wa mwenzako kwako wewe ni ganda la usufi

Zawadi yako hii

 
Huyu ni mtetezi bora kabisa wa waislam huwezi kuwaona BAKWATA wanatetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…