Kuna watu hawalali ili wewe ulale. Mambo mengine mnajitakia kabisa.Hapo wanasubiri reaction yetu wananchi, wakiona moto umekuwa mkubwa watasema wanamshikilia na ‘upelelezi’ unaendelea.
Hapa ndipo vyombo vyetu vya usalama hunichosha, unamshikilia vipi mtu pasi na kuwa na hati ya mashtaka dhidi yake?
Na hata upelelezi huo ukikamilika kila uchwao yanaibuka mashtaka mapya, BS.
Kuna watu hawalali ili wewe ulale. Mambo mengine mnajitakia kabisa.
Eti vyombo vya usalama vinakuchosha!!!!!
Kakamatwa au kahojiwa?
mzee baba anatujengea BAKWATA msikiti bab kubwa bana... hatutaki kingine chochote!Katibu mkuu wa shura ya maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa ponda akamatwa na polisi hivi punde
Amekamatwa akiwa anatoka Msikitini sala ya Alasiri saa kumi na Moja maeneo ya Ilala. Alivyotoka Msikitini anataka kuingia kwenye gari yake ndo Wakamkamata.
Kwa sasa wapo wanasheria wanafuatilia dhamana yake japo inadaiwa wanamhamisha hamisha.
Bado hajajulikana kapelekwa kituo gani.
View attachment 1504199
=======
UPDATES :
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP- Lazaro Mambosasa, ameiambia JamiiForums kwamba ni kweli Polisi wanaye Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
"Tunaye sisi Polisi, tumemkamata kwa Mahojiano ya Uchochezi walioutoa kwenye kitu walichokiita Waraka. Tunamhoji kutokana na ule Waraka, Yeye kakubali kwamba ni wake na Taasisi yake lakini Viongozi wote wa Taasisi wameukana kupitia Vituo mbalimbali vya radio na TV. Hivyo tunazidi kumshikilia. Amesema Mambosasa.
Hivi Karibuni, Shura ya Maimamu Tanzania, ilitoa Waraka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020
Zaidi, Soma;
Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
CUF: Tunatoa pongezi za dhati kwa Waraka uliotolewa na Shura ya Maimamu. Unachora taswira halisi ya hali ilivyo nchini tangu uhuru
Shura ya maimamu yakana kutoa waraka wa uchaguzi, yampongeza Rais Magufuli kwa kuitokomeza Corona
Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro
Hakuwa chini ya ilinzi. Mbona haraka sana kukimbilia kwenye kushambulia ukristo. Inawezekana kuna wakrsto wachache wanawachukia bile vile sisi wakristo kuna waislsmu wachache wanaweza wakawa wanatuchukia. Hatuweshi shambulia au kujenga vita suuwachuki waislamu wote
Kama alivyo na anachoongea kinafanana na yeye na mwingine mwenye fikra kama zake anafanana naye. Ukikosa unyenyekevu na hekima roho mtakatifu utakuwa mpumbavu mpaka kifo.Mzigo wa mwenzako kwako wewe ni ganda la usufi
Zawadi yako hii
Kama alivyo na anachoongea kinafanana na yeye na mwingine mwenye fikra kama zake anafanana naye. Ukikosa unyenyekevu na hekima roho mtakatifu utakuwa mpumbavu mpaka kifo.
Hyo inaeleweka kwa yeyote asiyemwamini Roho mtakatifu.
Mimi naamin Roho mtakatifu yupo mmoja tu, sasa cjajua wew unamzungumzia yupi? Au unamzungumzia roho mtaka bifu? Maana huyo yupo kwa wenzetu hawa wanaotoka jangwani(mitendeni)Roho mtakatifu wa kanisa lipi anaaminika zaidi?
Mimi naamin Roho mtakatifu yupo mmoja tu, sasa cjajua wew unamzungumzia yupi? Au unamzungumzia roho mtaka bifu? Maana huyo yupo kwa wenzetu hawa wanaotoka jangwani(mitendeni)