Katibu Mkuu wa TLP John Komba afariki

Kama unatoa pole toa pole kwa familia ya marehemu. Kama unataka kuleta mada au topic juu ya Mrema na TLP lete fresh topic tuchangie.
RIP Komba.
 
Poleni wafiwa. Huyu alikuwa Katibu Mkuu kweli? Hamad Tao ni nani? Au mzee wa Kilaracha alishamtimua! Hakawii Mrema kukutimua usipoendana naye.
 
Kama unatoa pole toa pole kwa familia ya marehemu. Kama unataka kuleta mada au topic juu ya Mrema na TLP lete fresh topic tuchangie.
RIP Komba.
ni heri amekwenda. ni heri uso wake hautayaona haya yanayoendelea, nafsi yake haitashuhudia ghiliba za kina Mrema A.L na wengine, daima atabaki kuwa kimya.
kwaheri Komba, pumzika kaka yangu.
ndimi Nguvumali
 
Nilidhani Katibu Mkuu wa TLP kama Mrema alivyoteua ni TAO. Hata hivyo Roho ya Marehemu ipumzike pema peponi.
 
Pumzika kwa amani Katibu Mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…