Katibu Mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi akiongea na Wanahabari Agosti 03, 2021

Ujamaa ulizikwa na Mwinyi, sasa tuko kwenye ubepari uchwara.
 
Hakuna ujamaa tena nchi. Tuko kwenye ubepari uchwara kwa sasa.
 
Ujamaa ulizikwa na Mwinyi, sasa tuko kwenye ubepari uchwara.
Katiba yetu bado inatambua UJAMAA WA SERIKALI YA JMT...

Ujamaa wetu ni wa kiafrika....bado upo....unaongelea PURE SOCIALISM/COMMUNISM?!!

Mbona hatukuwahi kuwa "pure" kabisa?!!
 
Tunataka katiba mpya itakoyesema ukweli na kuakisi uchumi wa kibepari uliopo kwa sasa.
Katiba yetu bado inatambua UJAMAA WA SERIKALI YA JMT...

Ujamaa wetu ni wa kiafrika....bado upo....unaongelea PURE SOCIALISM/COMMUNISM?!!

Mbona hatukuwahi kuwa "pure" kabisa?!!
 
Itapendeza ikitokea issue ya kisiasa mnyukane kwa namna hii baina ya chama na chama,,huko kusaidiwa na jeshi la polisi semeni hapana ni wakati Sasa jeshi la polisi kukaa pembeni na kuwaacha mnyukane kwa hoja,siyo mmoja unamfunga pingu kuwa ni gaidi na haruhusiwi kufanya mkutano hata wandani nyie mnajimwambafai hilo halikubaliki,
Ccm Kama chama na Kama dola kubalini kuwepo na mezani sawia kwenye maswala ya kisiasa tuone vijana wa UVCCM wakijibu hoja acheni uoga,
Ccm kwa sasa mnaishi kiuoga uoga tu,chama kinafanya mkutano wa ndani mnatuma polisi kuwatawanya kwamba wanaandamana,kanisani napo pressure inawapanda,hofu ya nini ikiwa uwezo wa kila kitu mnavyo?
Nimeona shaka anajitahidi kujibu hoja na huyo dogo anajitahidi ndivyo inavyo hitajika,vyombo vya usalama vikae pembeni Kama ilivyo kuwa kwa nape na kinana enzi za jk
 
Tunataka katiba mpya itakoyesema ukweli na kuakisi uchumi wa kibepari uliopo kwa sasa.
Haitatokea.....

Kuiandika katiba yetu kuwa ni ya UCHUMI WA KIBEPARI ni sawa na kusaliti JUHUDI ZA WAZEE WETU kulipambania taifa hili toka Vita vya majimaji na vinginevyo.....

Kusema kuwa JMT ni ya kibepari ni sawa na KUINAJISI HISTORIA YA SERIKALI ZETU MBILI.....

Hilo halitokaa litokee.....
 
Kuanzia paragraph ya tatu, ni Chadema tu hadi mwisho...

Halafu msemaji wa yote hayo ni kiongozi wa CCM, si angewaandikia tu barua ya ushauri awatumie Ufipa

CDM ndo mpinzani mkuu wa CCM, lazima wamtaje hawana jinsi. Ukiona chama hakitajwi na CCM ujue ni mfilisi kisiasa. Kumbuka enzi hizo Ngangari(CUF) na Ngunguri (Polisi ya IGP Mahita).
 
CCM bila Polisi hamna chama hapo. Yaani Siro ndio tegemeo la CCM. Anaupiga mwingi na uzee wake utakuwa sio mwema kwa uonevu.
Haya maneno yanamisaidia kitu gani,wakati Mbowe yuko mahabusi !!sasa nendeni mahakamani mkawaambie majaji wamtoe Mbowe, kipigo chake mtakwenda simulia familia zenu
 
CDM ndo mpinzani mkuu wa CCM, lazima wamtaje hawana jinsi. Ukiona chama hakitajwi na CCM ujue ni mfilisi kisiasa. Kumbuka enzi hizo Ngangari(CUF) na Ngunguri (Polisi ya IGP Mahita).
CDM ndo mpinzani mkuu wa CCM, lazima wamtaje hawana jinsi. Ukiona chama hakitajwi na CCM ujue ni mfilisi kisiasa. Kumbuka enzi hizo Ngangari(CUF) na Ngunguri (Polisi ya IGP Mahita).
Mmeonywa msivunje Sheria kwa kuingilia kazi ya majaji, sasa kama unafikiri mnabembelezwa nendeni mahakamani mkafanye huo utoto wenu, mtachakaaa maradufu
 
Mmeonywa msivunje Sheria kwa kuingilia kazi ya majaji, sasa kama unafikiri mnabembelezwa nendeni mahakamani mkafanye huo utoto wenu, mtachakaaa maradufu
Yaani wewe unadhani mimi ni CDM? Wala sina haja na siasa na wala sina sababu yoyote ya kuingia kwenye siasa iwe CCM au CDM. Lakini ukweli sisi raia tunaona kwamba CDM ndo mpinzani mkuu wa CCM. Unadhani wote tunatetea mavyama....tunaongea objectively tu.
 
Ujumbe umefika kwa wahusika nchi hii ina Sheria zake, anaejifanya anajitoa akili rungu litashuka, kwenye kichwa chake
 
Ujumbe umefika kwa wa husika nchi hii ina Sheria zake, anajifanya anajitoa akili rungu litashuka, kwenye kichwa chake
Tunachotaka ni usalama kwanza na tufanye shughuli zetu kwa amani. CDM/CCM mkitaka mavurugu nendeni burundi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…