Katibu Mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi akiongea na Wanahabari Agosti 03, 2021


..CCM ndio mnaonajisi nchi kwa kulaghai kwamba ni ya kijamaa huku mkienenda kibepari.
 
CCM bila Polisi hamna chama hapo. Yaani Siro ndio tegemeo la CCM. Anaupiga mwingi na uzee wake utakuwa sio mwema kwa uonevu.

Siro, kama walivyo wakuu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama, ni tegemeo la taifa zima!
 
Ccm KWa Sasa wasitupangie Cha kufanya wao Wana dola sisi tuna Mungu , atatuongoza kufika tunapopataka hatatuacha tukiwa wakiwa ndani ya Nchi yetu,

Katiba INAKUJA, haki Katika taifa INAKUJA hakuna wa kuzuia asema BWANA kwenye usiku huu wa maombi ya Taifa langu,
 
Huyu mbwa mpuuzi ambaye juzi Tu amechapa watu viboko akitumia UDC ndiye anajimbanua kuwa Malika CCM A BUNCH OF DEVILS
 
Mbona polisi hawajawakamata kama kweli polisi wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria, angekuwa Chadema angekamatwa.
 
Haya yameanza lini?
 
Kumbe kuna watu wanaitaka ccm kweli, haki sikuwahi kujua, mana hata nyie humu ni kwa sababu ya malipo tu
 
Huyo jamaa ni chizi, atakusumbua sana,
 
Akajibu tuhuma zake kwenye kesi ya sabaya, kwanza dogo ni mzinzi balaa huyu ni Sabaya aliyepoa

Kutumia platform kuizumgumzia CDM ni sawa na kupiga chura teke
 
Mmeonywa msivunje Sheria kwa kuingilia kazi ya majaji, sasa kama unafikiri mnabembelezwa nendeni mahakamani mkafanye huo utoto wenu, mtachakaaa maradufu
Mbona unafikra za unyaniunyani sana?

Yaani karne hii ya 21 unaona ni sifa kupiga, kuumiza na kuua binadamu mwenzako kisa tu anatumia uhuru wake?

Mbona mna mambo ya kijima sana! Ukute wewe ni miongoni mwa waliopewa dhama ya vyeo na fikra ndo hizi za kinyaninyani!

Kwa aina hii ya watu it will take us "a Generational Drift" kupata maendeleo.
 
Kihongosi anatajwa sana katika kesi ya Lengai Ole Sabaya. Alikiuwa akikutana naye baada ya Sabaya kupora watu pesa zao.
Hahahaaaa..... Anaweza kuitwa upande wa utetezi ametajwa sana!
 
Ujumbe umefika kwa wahusika nchi hii ina Sheria zake, anaejifanya anajitoa akili rungu litashuka, kwenye kichwa chake
Sheria gani inavunjwa kwa watu kwenda Mahakamani kusikiliza kesi ya wanaedhani ni kiongozi wao? Ebu tutajie hivyo vifungu vya sheria na sisi tuelimike kidogo.

Kinyume na hapo shut up and leave the platform.
 
Uhuru na mipaka yake, kama hutaki kuelewa hilo njia pekee ni kukueleza kama pia hutaki kuelewa utapigwa tuuu , hakuna kubembelezana kama tunatoa posa
 
Hakuna cha Generation wala nini, nchi ina taratibu zake, kama hutaki kuzifata kwa hiari yako, utalazimishwa kwa nguvu kuzitiii
 
Hakuna cha Generation wala nini, nchi ina taratibu zake, kama hutaki kuzifata kwa hiari yako, utalazimishwa kwa nguvu kuzitiii
Taratibu zipi zinazovunjwa/kiukwa? Ebu tueleweshe na hivyo vifungu na sisi tupate kuelewa.

Shauri hili kwa mujibu wa sheria zetu linatakiwa liendeshwe mahakama ya wazu kuruhusu umma kushiriki na kuangalia mwenendo.

Sasa sijui wewe unaongelea taratibu zipi? Tatizo la nchi hii ni watu wajingawajinga kama wewe ndo wanaamua hatma yetu.

Pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…