Katibu Mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi akiongea na Wanahabari Agosti 03, 2021

Uhuru na mipaka yake, kama hutaki kuelewa hilo njia pekee ni kukueleza kama pia hutaki kuelewa utapigwa tuuu , hakuna kubembelezana kama tunatoa posa
Mipaka ipi ya uhuru inayokiukwa au kuvunjwa kwa watu kuhudhuria kwenda kusikiliza kesi ambayo inaendeshwa kwenye mahakama ya wazi?

Yaani wewe umejazwa ujinga tu na unachokijua ni kutumia maguvu tu badala ya akili.

Pole sana!
 
Hudhuria bila tabu, ila kitendo cha kutaka mahakama imuachie Mbowe huo ni uhuni na utashughulikiwa, wacha mahakama ifanye kazi yake ikiona inafaa Mbowe atakuwa huru ila wakiona ni gaidi lazima ashughulikiwe
 
Umma wote hauwezi kuingia mahakamani , lazima watu wachache ndio waingie ndani baasi, kinachokatazwa hapa ni kujaribu kuishinikiza , mahakama imuachie Mbowe wakati kesi bado inaendelea, huu uhuni lazima ushughulikiwe mpaka siku nyingine wapate adabu
 
Nani kakwambia wanaenda kushinikiza na wakati wenyewe wamesema wanaenda kusikiliza kesi. Nyie mabwana wadogo mna shida sana. Unayemtisha ni nani?, na unamtisha kama nani?
 
BAVICHA imehamasisha vijana kwenda kusikiliza shauri hilo, wanaelewa kuwa maamuzi ya mahakama yanatolewa kwa kuzingatia taratibu za kimahakama na si kushinikiza
 
Mwambie kule kwa sabaya nae alikua anapewa mlungula anyamaze,ccm kumejaa majambazi n vibaka
 
Huyu Kijana ana sura ya Kikatili kama Madelu.
Siyo katibu Mkuu,hana baraza la makatibu.
Yeye ni Katibu wa UVCCM Taifa.
Kuhusu sura uliza kabila gani,pia kalelewaje,na ilikuwaje alipewa dhamana ya kukimbiza mwenge.Utajua ukatili wake unaanzia wapi
 
Kwa hiyo ni haki kwao kutokuvitendea haki washindani wao kisa Amani ?! Ujinga mwingine
 
Umma wote hauwezi kuingia mahakamani , lazima watu wachache ndio waingie ndani baasi, kinachokatazwa hapa ni kujaribu kuishinikiza , mahakama imuachie Mbowe wakati kesi bado inaendelea, huu uhuni lazima ushughulikiwe mpaka siku nyingine wapate adabu
Nani kakwambia wanaenda kushinikiza na wakati wenyewe wamesema wanaenda kusikiliza kesi. Nyie mabwana wadogo mna shida sana. Unayemtisha ni nani?, na unamtisha kama nani?
Ujumbe umefika lawama hazina nafasi tena, mwenye masikio na asikie
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa , siasa ijibizane na siasa. Siyo siasa wewe unatuma polisi. Kutuma polisi maana yake unaueleza uma kuwa wewe hauna hoja.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…