Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING

Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING

Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING maalum ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza wana CCM Vyuo SENATE iliyoandaliwa na Uongozi wa SENATE Mkoa wa Pwani chini ya Mwenyekiti wake Ndg Adam Salehe siku ya Jumamosi ya Tar 30/10/2021.

Kwenye JOGGING hiyo Katibu Mkuu ametumia nafasi kuwaasa Vijana juu ya maadili, uzalendo pamoja na uwajibikaji, alitumia fursa hii kuhimiza suala la Chanjo ya kujikinga na UVIKO 19.

Jogging hii pia ilihudhuriwa na Viongozi wa Wilaya ya Bagamoyo wa Chama na serikali akiwamo Mheshimiwa DC wa Bagamoyo Zainab Abdallah pamoja na DAS na DED, Mwenyekiti wa UVCCM Bagamoyo Ndg Mkwayu Makota na Katibu UVCCM.

IMG-20211101-WA0049.jpg


IMG-20211101-WA0050.jpg
 
Ccm Wametoka Kuosha Sufuria Mpaka Jogging
 
Huyo Mbele kwenye hiyo picha anafanana na mbunge Salma Kikwete!!! Au sio yeye kwani hushiriki jogging sana.
 
mwamba na nusuu! hapa ccm ilipata mtu sahihi!!
 
Back
Top Bottom