Katibu Mkuu Yakubu ndani ya banda la sanaa, Sabasaba

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Ushiriki wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu katika Banda la Wizara kwenye Maonesho ya Saba Saba, tarehe 30 Juni, 2023.
 
Kwahiyo wewe ndio huo yakubu, au, maana posti zako ni yakubu kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…