Katibu Mwenezi anapaswa kuwa na Elimu gani?

Katibu Mwenezi anapaswa kuwa na Elimu gani?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu?

Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo?
 
Dah ila tuache utani bashite bukta za soccer zinamtoa chicha sana
 
Baada ya MAKONDA kuwika mjini, maswali ya kijinga yanazidi kuongezeka 🥴🥴🥴
 
Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu?

Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo?
a hii ndio a a a a a.....
e hii ndio e e e e e......
i hii ndio i i i i i.......
o hii ndio o o o o o......
I hii ndio u u u u u......

Hio inatosha sana kwa chama chao.
 
Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu?

Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo?
SIFA ZA KUPATA CHEO KWENYE CHAMA:
1.UWE MWEPESI KUMSIFIA SIFIA MWENYEKITI WAKO
2.JITAHIDI SANA KUWAUMIZA WAPINZANI WAKO.

KWA SIFA HIZI TU CHEO UNACHO, ELIMU PELEKA SEKRETARIETI YA AJIRA
 
Hivi bifu lake na gwaji boy liliishaje maana kwa sasa wapo kwenye boat [emoji569] moja wanaitana comrades
 
Back
Top Bottom