Pre GE2025 Katibu Mwenezi Arusha, Saipulani Ramsey: 'No Reform No Election' ni kachumbari tu inayochagizwa kuliwa kwa Pilau

Pre GE2025 Katibu Mwenezi Arusha, Saipulani Ramsey: 'No Reform No Election' ni kachumbari tu inayochagizwa kuliwa kwa Pilau

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Wakuu

Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey ameendelea kusisitiza kuwa Uchaguzi Mkuu uko pale pale

Tunafanya uchaguzi miaka yote sio kwasababu ya TAMKO au MATAMKO, bali kwasababu ni takwa la kikatiba lililotokana na VIKAO halali vilivyopewa nguvu ya Kisheria.

Hivyo basi hatutoacha kufanya uchaguzi kwasabau ya TAMKO au MATAMKO yasiyotokana na VIKAO halali vilivyopewa nguvu ya KISHERIA.


“NO REFORMS NO ELECTION ni KACHUMBARI tuu inayochagiza kuliwa kwa PILAU.”

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

1741786152964.png
 
Back
Top Bottom