Dakika 5 tu za salaam pale kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Mhambwe umetuthibitishia kuwa Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hakufanya makosa kukupendekeza na hatimaye kuthibitishwa kwenye nafasi hiyo na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa.
Nilihamasika pale ulipomthibitishia waziri mkuu Mhe Kassim Majaliwa Kassim kuwa CCM itashinda majimbo yote ya Muhambwe na Buhigwe na itashinda kwa haki, itashinda kwa amani na itashinda kwa demokrasia....sababu ni umoja na mshikamano wa wanaccm na mapenzi ya Mwenyezi Mungu.
Hongera sana....kazi iendelee!!!
View attachment 1774345