Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Usi Gavu, akiwa kwenye mkutano wa wana CCM Rorya amesema; "mwongozo uko wazi CCM, fanya kosa lolote tutakusamehe, kosa la usaliti hatuna msalia Mtume. Ukitusalitu hatutakusamehe, hatutokusahau, tutakuchukulia hatua."
Akiongeza kuwa, wanaamini wao ndio waliopewa dhamana ya kuongoza chama hicho kwa kiamini kwamba kila mmoja wao ana waki na wajibu sawa sawa na wengine, na hakuna matabaka kati yao, kwamba bilionea na yule masikini wote wana haki sawa. Hivyo wasipoteza heshima waliopewa kama chama cha siasa kilichopewa ridhaa nchini, na hawataweza kufanikiwa kama sio wamoja.
(Hii itakuwa ndio maana Nape, Makamba, yule UVCCM wa geita, na DC Longido wamechakazwa shwaaaaa! Kwahiyo akifanya kingine hata kuua ilimradi kwa maslahi ya chama ni hewala?)

UJINGA...Hawa wafuatao ndyo wamebaki na ccm 1:MWALIMU huyu ndye anayechakachua kura kwenye sanduku..2😛OLICE hawa kazi yao ni kutumia nguvu kupora ushindi kwa wananchi.3:WATENDAJI WA SERIKALI eg WAKUU WA MIKOA WILAYA WATENDAJI WA KATA NA KIJIJI hao kazi ni kutumia dola ili kuhakilkisha ccm ibaki kutawala.4:MACHAWA NA VILAZA hao ndyo wenye maslahi na chama nahawa wengne VILAZA kazi yao ushabiki usio na tija na wengiwao ni WAPO VIJIJINI