LGE2024 Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu aamua kutembelea ofisi mbalimbali kuhamasisha Watu wakajiandikishe katika Daftari la Kupiga Kura

LGE2024 Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu aamua kutembelea ofisi mbalimbali kuhamasisha Watu wakajiandikishe katika Daftari la Kupiga Kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Snapinsta.app_463491229_551608144079083_6865256077759788039_n_1080.jpg
KATIBU TAWALA SIMIYU AWAHIMIZA WATUMISHI TANESCO KUJIANDIKISHA KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Joseph Kayombo amewahimiza watumishi wa Umma wa Taasisi mbalimbali Mkoani Simiyu kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura za Viongozi wa Serikali za Mitaa ili waweze kupata haki yao ya Msingi ya kuchagua Viongozi watakaowaongoza katika Mitaa yao.

Ametoa rai hiyo alipozungumza na watumishi wa Shirika la Ugavi wa Umeme Nchini Tanesco Mkoani Simiyu katika muendelezo wa zoezi la kuhamasisha makundi mbalimbali Mkoani Simiyu kujitokeza kujiandikisha.

Amewataka watumishi hao kutochanganya zoezi la maboresho ya Daftari la kudumu la Wapiga kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu na Daftari la wapiga kura za viongozi wa Serikali za Mitaa.

Amewataka pia kuwa mabalozi wa kuhamasisha Wananchi kujitokeza katika vituo vya kujindikisha ili waweze kuwa na sifa ya kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Kwa upande wake Meneja Tanesco Mkoa wa Simiyu Bi.Alistidia Clemence amemhakikishia katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Kayombo kuwa Watumishi wote wa Tanesco Mkoani humo watajiandikisha katika orodha ya wapiga kura za viongozi wa Serikali za Mitaa.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Rais -TAMISEMI uchaguzi wa Serikali za Mitaa Nchini utafanyika Tarehe 27 Novemba 2024.

GCO,
Simiyu-RS
15 Novemba 2024.

Snapinsta.app_463254090_523545147205229_3574029878648022525_n_1080.jpg
ELIMU UANDIKISHAJI WAPIGA KURA INAENDELEA KATIKA HALMASHAURI YA MJI BARIADI
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Kayombo pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa katika gulio la Kidinda Bariadi leo Oktoba 15 kwa ajiki ya kuelimisha wananchi juu ya zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura zoezi ambalo limeanza tangu Oktoba 15 na litaisha oktoba 20.

Zoezi la Uandikishaji linaendelea katika Mitaa Yote ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi.

Snapinsta.app_463178257_1555075028548999_7460201926622404748_n_1080.jpg
KATIBU TAWALA SIMIYU AWAHIMIZA WATUMISHI BENKI YA CRDB KUJIANDIKISHA KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Joseph Kayombo amewahimiza watumishi wa Benki ya CRDB na watumishi wa Sekta binafsi Mkoani Simiyu kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura za Viongozi wa Serikali za Mitaa ili waweze kupata haki yao ya Msingi ya kuchagua Viongozi watakaowaongoza katika Mitaa yao.

Ametoa rai hiyo alipozungumza na watumishi wa Benki ya CRDB Mkoani Simiyu katika muendelezo wa zoezi la kuhamasisha makundi mbalimbali Mkoani Simiyu kujitokeza kujiandikisha.

Amewataka watumishi hao kutochanganya zoezi la maboresho ya Daftari la kudumu la Wapiga kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu na Daftari la wapiga kura za viongozi wa Serikali za Mitaa.

Amewataka pia kuwa mabalozi wa kuhamasisha Wananchi kujitokeza katika vituo vya kujindikisha ili waweze kuwa na sifa ya kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Rais -TAMISEMI uchaguzi wa Serikali za Mitaa Nchini utafanyika Tarehe 27 Novemba 2024.

GCO,
Simiyu -RS
16 Novemba 2024.

Snapinsta.app_463421767_930305769009239_6464847141559674795_n_1080.jpg
TARURA SIMIYU WAHIMIZWA KUJIANDIKISHA KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA🇹🇿

Bariadi,

Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Joseph Kayombo amewahimiza watumishi wa Wakala wa Barabarara za Mijini na Vijijini TARURA Mkoani Simiyu kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura za Viongozi wa Serikali za Mitaa ili waweze kupata haki yao ya Msingi ya kuchagua Viongozi watakaowaongoza katika Mitaa yao.

Ametoa rai hiyo alipozungumza na watumishi hao alipotembelea Ofisi zao katika Kata ya Malambo katika muendelezo wa zoezi la kuhamasisha makundi mbalimbali Mkoani Simiyu kujitokeza kujiandikisha.

Amewataka watumishi hao kutochanganya zoezi la maboresho ya Daftari la kudumu la Wapiga kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu na Daftari la wapiga kura za viongozi wa Serikali za Mitaa.

Amewataka pia kuwa mabalozi wa kuhamasisha Wananchi kujitokeza katika vituo vya kujindikisha ili waweze kuwa na sifa ya kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Rais -TAMISEMI uchaguzi wa Serikali za Mitaa Nchini utafanyika Tarehe 27 Novemba 2024.

GCO,
Simiyu-RS
15 Novemba 2024.

Snapinsta.app_463316326_423281417457879_3148762118110443245_n_1080.jpg
WATUMISHI TEMESA SIMIYU WAHIMIZWA KUJIANDIKISHA KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Joseph Kayombo amewahimiza watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Mkoani Simiyu kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura za Viongozi wa Serikali za Mitaa ili waweze kupata haki yao ya Msingi ya kuchagua Viongozi watakaowaongoza katika Mitaa yao.

Ametoa rai hiyo alipozungumza na watumishi hao alipotembelea Ofisi zao zilizopo Mji wa Kiserikali Nyaumata Wilayani Bariadi katika muendelezo wa zoezi la kuhamasisha makundi mbalimbali Mkoani Simiyu kujitokeza kujiandikisha.

Amewataka watumishi hao kutochanganya zoezi la maboresho ya Daftari la kudumu la Wapiga kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu na Daftari la wapiga kura za viongozi wa Serikali za Mitaa.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Rais -TAMISEMI uchaguzi wa Serikali za Mitaa Nchini utafanyika Tarehe 27 Novemba 2024.

GCO,
Simiyu-RS
16 Novemba 2024.

Snapinsta.app_463401975_1043852393873026_1679269680096456712_n_1080.jpg
KAMPENI YA UHAMASISHAJI WANANCHI KUJIANDIKISHA KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI SIMIYU,

Pichani:Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Joseph Kayombo akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF alipotembelea Ofisi zao zilizopo katika Kata ya Somanda katika muendelezo wa Ziara yake ya Hamasa kwa Watumishi wa Umma Kujitokeza kujiandikisha katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.

Snapinsta.app_463362570_3760904707495862_5752167022260329346_n_1080.jpg
WATUMISHI TANROADS WAHIMIZWA KUJIANDIKISHA KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Joseph Kayombo amewahimiza watumishi wa Wakala wa Barabara Nchini TANROADS Mkoani Simiyu kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura za Viongozi wa Serikali za Mitaa ili waweze kupata haki yao ya Msingi ya kuchagua Viongozi watakaowaongoza katika Mitaa yao.

Ametoa rai hiyo alipozungumza na watumishi hao alipotembelea Ofisi zao zilizopo Kata ya Luguru Wilayani Bariadi katika muendelezo wa zoezi la kuhamasisha makundi mbalimbali Mkoani Simiyu kujitokeza kujiandikisha.

Amewataka watumishi hao kutochanganya zoezi la maboresho ya Daftari la kudumu la Wapiga kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu na Daftari la wapiga kura za viongozi wa Serikali za Mitaa.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Rais -TAMISEMI uchaguzi wa Serikali za Mitaa Nchini utafanyika Tarehe 27 Novemba 2024.

GCO,
Simiyu-RS
16 Novemba 2024.

WATUMISHI TRA WAHIMIZWA KUJIANDIKISHA KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA UCHAGUZI VIONGOZI SERIKALI ZA MITAA
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu amewahimiza watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kujiandikisha na kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Katibu Tawala amekutana na kuzungumza na Watumishi hao katika Ofisi za TRA Mkoa wa Simiyu zilizoko Wilayani Bariadi katika muendelezo wa ziara yake kuhamasisha Watumishi wa Taasisi mbalimbali kujiandikisha na kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

GCO,
Simiyu -RS
16 Oktoba 2024.
 
Back
Top Bottom