Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Katibu wa Balaza/ Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania amesema kupitia viongozi wasiowaaminifu wamewafanya wananchi wa Loliondo waishi maisha magumu kama wakimbizi ndani ya nchi yao, jambo ambalo halipaswi kurudiwa kutendwa na viongozi.
Padre Kitima ameonya huenda mkataba huu wa bandari nao ukawa na machungu kwa wananchi kama ule wa Loliondo.
Chanzo Kanisa Katoliki TV.
Padre Kitima ameonya huenda mkataba huu wa bandari nao ukawa na machungu kwa wananchi kama ule wa Loliondo.
Chanzo Kanisa Katoliki TV.