Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Na chawa walishangilia san na kusifia, eti waondolewe porini. Njaa mbaya san!!Katibu wa Balaza/ Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania amesema kupitia viongozi wasiowaaminifu wamewafanya Wananchi wa Loliondo waishi maisha magumu kama wakimbizi ndani ya nchi yao jambo ambalo halipaswi kurudiwa kutendwa na viongozi
Padre Kitima ameonya huenda mkataba huu wa bandari nao ukawa na machungu kwa wananchi kama ule wa Loliondo.
Chanzo Kanisa Katoliki TV.
Umaskini wa AKILI ni hatari sana ndugu zangu.kwa sababu huwezi kujua nn uunge mkono na nn usiunge kwa sababu ya ukosefu wa Akili.Na chawa walishangilia san na kusifia, eti waondolewe porini. Njaa mbaya san!!
Umaskini wa AKILI ni hatari sana ndugu zangu.kwa sababu huwezi kujua nn uunge mkono na nn usiunge kwa sababu ya ukosefu wa Akili.
ELIMU watu wanayo AKILI ndio hakuna kaka.ELIMU
ELIMU
ELIMU
ELIMU
Njaa Mbaya Sana, V8 Tu Wametoa Vyote
Hii ilikuwa kwenye ajenda ya bandari?Tanzania Tumemeza Ndoano Ya DP World Bila Chambo
Tutajuta Sana Kuwahi Kutokea
Twafaa
Njaa gani?Na chawa walishangilia san na kusifia, eti waondolewe porini. Njaa mbaya san!!
Ukiwa ndani ya payroll huez elewa haraka kuhusu njaa!!Njaa gani?