Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Dec 12, 2010 #1 Mwenye updates na aliyeikwaa hii nafasi?
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Dec 12, 2010 #2 mi nimeona kwenye michuzi kule..sikuwa na haja ya kusoma maana eti Jimmy Kabwe kawa afisa masoko sijui...aaaaghhh nikaona kichefuchefu tu
mi nimeona kwenye michuzi kule..sikuwa na haja ya kusoma maana eti Jimmy Kabwe kawa afisa masoko sijui...aaaaghhh nikaona kichefuchefu tu
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Dec 12, 2010 Thread starter #3 Dah nimetoka kwa michuzi uko Angetile naona ameula!
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Dec 12, 2010 #4 Njowepo said: Dah nimetoka kwa michuzi uko Angetile naona ameula! Click to expand... Angetile ni nani? naomba wasifu wake
Njowepo said: Dah nimetoka kwa michuzi uko Angetile naona ameula! Click to expand... Angetile ni nani? naomba wasifu wake
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,997 Reaction score 1,172 Dec 12, 2010 #5 Crashwise said: Angetile ni nani? naomba wasifu wake Click to expand... Angetile Osiah, msanifu kurasa mkuu wa gazeti la mwananchi kwa hivi sasa. kabla hajajiunga hapo amefanya kazi kama mwandishi na mhariri wa habari za michezo kwa miaka mingi kuanzia IPP kabla hajaingia mwananchi
Crashwise said: Angetile ni nani? naomba wasifu wake Click to expand... Angetile Osiah, msanifu kurasa mkuu wa gazeti la mwananchi kwa hivi sasa. kabla hajajiunga hapo amefanya kazi kama mwandishi na mhariri wa habari za michezo kwa miaka mingi kuanzia IPP kabla hajaingia mwananchi
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,122 Reaction score 4,060 Dec 12, 2010 #6 ...Ameacha kazi ya uhakika Mwananchi kwenda kubahatisha TFF ???