Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kama picha zinavyojionesha Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Amos Makalla ameongoza ujumbe wa NEC ya CCM katika ziara yake nchini China.
Makala alikutana na Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Masuala ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara wa IDCPC Rao Huihua mjini Beijing.
==================
Kwanini Makalla anaenda China, makao makuu ya chama cha KIDIKTETA cha Chinese Communist Party just 6 months kabla ya Uchaguzi kuanza?
Ni mbinu gani anaenda kujifunza huko China? Ni wizi wa kura, matumizi ya polisi kipindi cha Uchaguzi au jinsi ya kusambaza Propaganda?
Kwanini Makalla asingeenda Canada, Uingereza au Marekani kwenda kujifunza jinsi Wamagharibi wanavyoupiga mwingi kwenye demokrasia?
Kwanini China?