Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Katibu wa Siasa Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Mohamed Msalu amesema kuwa nchi ya Tanzania ni ya vyama vingi hivyo linapokuja swala la uchaguzi ni lazima ufanyike kwa mujibu wa taratibu za uchaguzi hata kama chama kimojawapo cha siasa kitasusia kushiriki uchaguzi huo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema kuwa kama kuna chama kitakataa kuingia kwenye uchaguzi kikidai kuwa kimeona kasoro lakini vyama vingine vikaona hakuna kasoro basi uchaguzi utafanyika.
Ameeleza hayo leo Jumatano February 12, 2025 alipokuwa akizungumza kwenye semina ya mafunzo kwa viongozi wa chama na makada wa CCM ambao walichaguliwa katika uchaguzi wa Vijiji na Serikali za Mitaa katika Kata ya Mnadani Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro.