Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar Es Salaam Hussein Egobano amewataka vijana wa umoja huo kufanya kazi ya kukijenga chama na kuacha kujiingiza kwenye kile alichokiita harakati za CCM.
Akizungumza leo Februari 01, 2025 katika Kongamano Maalum la Vijana Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM amesema “nataka niwaambie vijana wenzangu nyinyi wasomi kesho yenu ni njema kuliko leo, achaneni na harakati za Chama cha Mapinduzi nendeni mkakijenge chama katika maeneo yenu”
Soma Pia:

- Mwenyekiti UVCCM Mwanza: Vijana hakikisheni CCM inaendelea kushika Dola
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025