Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwahiyo waziri mkuu alidanganya?!Baraka Leonard Katibu wa Bunge, amesema Jenista Mhagama amefariki kwa maradhi ya Moyo
hawakuwa na pesa za kumpeleka India kwa matibabu?Baraka Leonard Katibu wa Bunge, amesema Jenista Mhagama amefariki kwa maradhi ya Moyo
Hata wewe utakufaNimefurahi kafa.
Mimi akifa Samia ndo nitafurahi mno. Hiyo siku nitachinja Nzagamba.Nimefurahi kafa.
😳😳Nimefurahi kafa.
Licha ya Mihela tu, rafiki yake mmoja ni mmoja wa wana bodi katika hospital moja kubwa Sana.Miela yote aliyokuwa nayo ajawahi kwenda ata Sourh Africa kwenye check up.
Mgonjwa wa moyo ambae majuzi tu alikuwa anajigaragaza kwenye vumbi akiomba kura.
Huko kwenye canteen ya bunge inadaiwa katika watu waliokuwa wanapenda vitamu-tamu Jenista mmoja wapo.
Mgonjwa wa moyo ambae hana diet concern, hiyo ni kazi ya ‘nerve agent’ tu acheni hadithi.
India alienda RAO akarudi ameaga dunia. Siku ikifika imefika.hawakuwa na pesa za kumpeleka India kwa matibabu?
Tukuweke kundi gani ?Mimi akifa Samia ndo nitafurahi mno. Hiyo siku nitachinja Nzagamba.
Watoto watano, kwa nini Katibu wa Bunge asome eulogy ya Mama yenu ???FAMILIA YAKE INASEMAJE???? VIHEREHERE