Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 May 10, 2025 #1 Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amewachana wapinzani hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kueleza kuwa kuna mgogoro ndani ya chama hicho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ameyasema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Busisi Wilaya ya Sengerema ambapo alikwenda kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM. Your browser is not able to display this video.
Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amewachana wapinzani hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kueleza kuwa kuna mgogoro ndani ya chama hicho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ameyasema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Busisi Wilaya ya Sengerema ambapo alikwenda kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM. Your browser is not able to display this video.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 May 10, 2025 #2 Mada kama umelewa unapost
RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,430 Reaction score 7,030 May 10, 2025 #3 Mwambie leo walikuwa geita kesho hapo hapo apunguze kujamba
C Cyb JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 682 Reaction score 1,121 May 11, 2025 #4 CCM hivi wanafurahishwa au wanahuzunishwa na hiyo inayoitwa migogoro? Kama kuna migogoro si ndio wafurahi CHADEMA inaelekea kufa (ingawa hii ni ngumu kutokea hasa kipindi hiki)? Nini hasa kinawauma?
CCM hivi wanafurahishwa au wanahuzunishwa na hiyo inayoitwa migogoro? Kama kuna migogoro si ndio wafurahi CHADEMA inaelekea kufa (ingawa hii ni ngumu kutokea hasa kipindi hiki)? Nini hasa kinawauma?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 May 11, 2025 #5 RO7 ZA MGOS said: Mwambie leo walikuwa geita kesho hapo hapo apunguze kujamba Click to expand... Kesho wako nae hapo😁😁
RO7 ZA MGOS said: Mwambie leo walikuwa geita kesho hapo hapo apunguze kujamba Click to expand... Kesho wako nae hapo😁😁