Mpaka usiku huu mkubwa bado watu wanatupigia makelele kisa kudhulumiwa matokeo au kukataa kutolewa matokeo kwa uongo wa simu /maelekezo kutoka juu.
Maelekezo yenyewe yana kanganya hivyo huenda hayajatoka juu.
Kata ya Ukonga wamelazimisha kupita Batenga ilhali haishi ukonga. Mgombea mwenzake wa uenyekiti kakatwa jina siku ya uchaguzi eti maelekezo ya simu (wakati alikuwa mwiba kwa pandikizi la mh.Mbunge).
Hivyo hivyo kwa Katibu wa Kata ; hakuna anayemuhitaji, haki ingetendeka angepata kura yake tu.
Kituko zaidi ni Kata ya Majohe; msimamizi anahesabe kura 400 tangu tar 7.8.2022 saa sita mchana hadi muda huu HAJAMALIZA.
WAMEMFUNGIA BWELA HALL BAADA YA KUTAKA KUONDOKA BILA KUTANGAZA MATOKEO.
Karibu Ukonga na Ilala yote hakuna utuluvu; kisa maelekezo.
Maelekezo ya hivi sidhani kama kweli yanatoka juu, labda Mh Chongolo (Km taifa ) , Mwenezi Shaka na Mwenyekiti walitolee ufafanuzi.
Tanbihi:
Mwenezi Shaka-Zulu , Shaka23 , @Chongolo na M/kiti ; Shughulikieni hili kwani Limeshafika Mezani kweni ila mmetulia . Hivyo kunyamaza kwenu kunazua sintofahamu kwa CCM Ukonga na Wilaya ya Ilala kwa ujumla na maeneo mengine ya nchi yenye changamoto za kujipanga kwa 2025.
Hii ni Kata ya Majohe mida hii