TANZIA Katibu wa CCM wilaya ya Mkuranga afariki dunia

Maandiko matakatifu yanatutaka kumshukuru Mungu kwa kila jambo!
 
Kura za maoni isingewezekana ziishe hivi hivi
 
Mungu ni mkali soon atafikia lengo!!
KAZI ni kipimo cha utu
 
Maswaahiba wenzake walipenda kumuita kipara....rip katibu bingwa kabisa.
 
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa MUNGU, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa. ILA AOMBE KWA IMANI, PASIPO SHAKA YEYOTE; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku. Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa BWANA. Mtu wa nia mbili husita-sita katika njia zake zote.”
Kwenye maombi Kuna Imani ya kuomba na kuna Imani ya kupokea.
 
Jamaa wajitafakari sana.

Wananchi wamewachoka kabisa.
 
Leo wamekufa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…