Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Bila shaka yoyoteCHADEMA ni mfupa uliowashinda CCM!
Na kwa vile Mungu si Athumani hatuna shaka nayeMungu ampe wepesi!
Mungu ibariki ChademaChalamila si ajabu anataka kumuuwa maana huwezi kuamini wakuu wa mikoa kwa amriya magufuli wananyanyasa wapinzani polisi pia waatangaxwe kama afui namba moja wa wananchi
Washirika wetu sasa ni andazi CCM wanalitafuna.CHADEMA ni mfupa uliowashinda CCM!
Na kwa kuwa Mungu ni wa CHADEMA peke yake basi dua zenu zote zitakuwa zinakubalika!Na kwa vile Mungu si Athumani hatuna shaka naye
Hayo umeongeza wewe kwa sababu unazozijua wewe na wanaokulipaNa kwa kuwa Mungu ni wa CHADEMA peke yake basi dua zenu zote zitakuwa zinakubalika!
Kumbe bado wanahangaika na Chadema?
Huyu kiongozi alikamatwa tangu jana pale alipofika kituo cha Polisi ili kuripoti makosa ya mtandaoni baada ya Tweet ya Dadi Igogo , badala yake akakamatwa yeye ambaye ni mlalamikaji na kuswekwa selo na kunyimwa dhamana .
Masonga amewahi kufungwa jela kwa kesi ya uongo iliyotungwa kwa uratibu wa Aliyekuwa RC wa Mbeya , Amos Makalla na RPC Mpinga ambayo pia ilimhusisha Joseph Mbilinyi , hawa wote walifungwa jela , lakini walitolewa jela katika mazingira ya kutatanisha na baadaye walishinda rufaa yao .
Niliweka uzi hapa kuhusu jambo hili lakini ulifutwa na Moderator mnoko bila sababu.
Opposition camp. Walk up straight and triumphantly. Freedom is in sight. Never and ever despair. You have the support of the trodden majority.
Huyu kiongozi alikamatwa tangu jana pale alipofika kituo cha Polisi ili kuripoti makosa ya mtandaoni baada ya Tweet ya Dadi Igogo , badala yake akakamatwa yeye ambaye ni mlalamikaji na kuswekwa selo na kunyimwa dhamana .
Masonga amewahi kufungwa jela kwa kesi ya uongo iliyotungwa kwa uratibu wa Aliyekuwa RC wa Mbeya , Amos Makalla na RPC Mpinga ambayo pia ilimhusisha Joseph Mbilinyi , hawa wote walifungwa jela , lakini walitolewa jela katika mazingira ya kutatanisha na baadaye walishinda rufaa yao .
Niliweka uzi hapa kuhusu jambo hili lakini ulifutwa na Moderator mnoko bila sababu.
Ni vema ajiulize alikoishia Pedesheee Amos MakallaMwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mbeya tumieni busara na hekima kwa mambo madogo. Yapo mengi ya msingi kuzingatia. "Uchaguzi umekwisha X3"
Kila ubaya utalipwaMagufuli hapo ameongeza dola hazina kwa kutesa wa mpinzani huyo mtu wa hovyo sana