Katibu wa Sekretariati ya Ajira simamia haya

Katibu wa Sekretariati ya Ajira simamia haya

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
ASALAAM,

KATIBU MKUU aliyekuwa secretariate ya ajira tunaomba ayangalie haya kipindi cha daudi yalisimama vizuri sana. Tunamuomba ayasimamie haya:

1. Usaili unapangwa zigzag tu mwanzoni tulikuwa tunfanya usaili kwa siku tatu mfululizo mfano tar 10,11,12 ili hata kama mtu umechukua loji uweze kumudu. Usaili wa sasa wanaruka ruka siku na kufanya usaili uwe wa siku zaidi ya tano. Hii sio nzuri kwa wasaka ajira.

2. Usaili mara upo dodoma mara upo dar es salaam. Pia Usaili wa vitendo Komputa za UDOM ni nzuri sana kuliko Komputa za COICT. Komputa za Kijitonyama zimechoka kiasi kwamba zipo very slow.

3. Usaili ufanyike kama ni Dar es Salaam iwe Dar kama ni Dodoma iwe dodoma na kwa vitendo waangalie aina ya lab nzuri. Mfano UDOM wana lab nzuri sana za kufanya practical exam
 
Back
Top Bottom