Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Kwa wale waliobahatika kuangalia mechi karibu zote za AFCON ya mwaka huu tu 2022, ni timu ipi kwa upande wako inayocheza mzuri, mnene, wa kuvutia kiasi kwamba hutoki kwenye siti
Kama hujabahatika kuangalia mpira, basi usome tu jinsi michango ya waliobahatika kuangalia mechi mbalimbali za michuano hii wanavyoshuka
Kwa mimi binafsi naona Ivory Coast wana mpira mzuri sana wa kimahesabu sana
Karibuni