Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Ni ujinga mtu au chama katika Jambo linalogusa hisia za watu wote halafu wao chadema wanaleta siasa zao za matukio kujitafutia umaarufu Kati Kati ya majonzi na huzuniKasi ya ongezeko la wapumbvu kwenye nchi hii ni kubwa sana.
Haihitaji Mimi kusimama mbele Bali tunapaswa sote kwa pamoja kusimama kwa pamoja Kama Taifa katika masuala yanayotugusaSimama mbele tukupigie makofi [emoji122][emoji122]
sawa katibu wa propagandaHakuna ligi maana Hakuna chama chenye uwezo wa kushindana na CCM hapa nchini
Wote kvp? yaan tuonekane tunafanana akili? kuwa serious basi jamaaHaihitaji Mimi kusimama mbele Bali tunapaswa sote kwa pamoja kusimama kwa pamoja Kama Taifa katika masuala yanayotugusa
Eh kwani wamefanya nini paleHakuna ligi maana Hakuna chama chenye uwezo wa kushindana na CCM hapa nchini
Hapana Sina mawazo ya namna hiyo, Tunachopaswa kufanya ni kusimama pamoja Kama Taifa katika matatizoHuyu mwishowe atakuja na hoja kuwa Ndege ni ya CCM kwa rangi yake.😂
Wameshiriki katika Hatua zote Hadi mwishoni wakati wao chadema wameshiriki kufanyia siasa ajali Ile iliyochukua uhai wa watanzania wenzetuEh kwani wamefanya nini pale
Kwenye uokoaji
Au unasema walivyosimamia mazishi
Ova
Sasa Chadema umeiingizaje hapo.Hapana Sina mawazo ya namna hiyo, Tunachopaswa kufanya ni kusimama pamoja Kama Taifa katika matatizo
Soma ili ueleweAisee wewe kijana wa hovyo. Sijui umeandika nini hapa? Inasikitisha sana
Chadema inaeneza uongo na propaganda wakatu huu ambao tunapaswa kusimama kwa pamoja na wafiwa kuwafariji na kuwatia moyo,.Sasa Chadema umeiingizaje hapo.
Creche.....Ndugu zangu katika Ajari ya Ndege Iliyotokea Juzi imeonyesha Kwanini CCM imeendelea kuaminiwa na watanzania katika kila uchaguzi mpaka leo hii, CCM imeonyesha sababu za wananchi Kuendelea kuwa na Imani nayo,CCM imeonyesha sababu ya watanzania kuipigania na kuilinda kwa nguvu zao zote na kwa gharama zote kuhakikisha CCM Inaendelea kuwepo madarakani
Wakati CCM imeonyesha kuguswa ,kuumizwa,kuhuzunishwa,kusikitishwa na ajari hii iliyochukua uhai wa watanzania wenzetu ,Wao CHADEMA wameonekana kukifanya suala hili kuwa la kisiasa na mtaji wao katika kipindi hiki Cha majonzi, wakati CCM imejikita katika kuunganisha Taifa na watanzania wote, kuwaombea majeruhi kupona haraka, kufika eneo la tukio kutoa msaada wa kibinadamu kwa wahanga, Wao CHADEMA ni Kama imekuwa furaha kwao, Ni Kama wamepata Cha kuongea, Ni Kama walitamani wapoteze wote maisha ili wapate vya kuongea wiki nzima,Ni Kama walikuwa wanasubiri vya kupost kwenye kurasa zao, Ni Kama walikuwa Kama mafisi wanaosubiri mkono udondoke waokote, hawakufurahishwa na habari za uokoaji wa abiria takribani 26
Chadema imekuwa na Tabia Kama za mchawi anayeweza kuuwa hata mwanaye, Hawafurahishwi Wala kupenda kusikia habari za Rais wetu kuagiza kupewa ajira kwa kijana Majaliwa, wao Ni kupinga pinga kila kitu, wakati CCM inahangaika na wahanga kuwasaidia, wao wanahangaika kuitisha mikutano na waandishi wa Habari kuropoka utoto na ujinga
Cha kusikitisha Ni kuwa CHADEMA Tangia kisajiliwe kwake miaka ya 90 mwanzoni lakini mpaka Leo kimeshindwa hata kupaka tu Rangi katika ofisi zao, wameshindwa hata kubadilisha madirisha ili yaweze kupitisha hewa vizuri wanapokuwa wamerundikana mule ndani,wameshindwa hata kubadilisha milango ikawa na muonekano mzuri, Hata pa kuweka Bendera tu wameshindwa kupaweka katika muonekano mzuri, kimekuwa Ni chama Cha kitapeli na Cha matukio, kinabaki Ni chama Cha kutafuna Ruzuku na kila aina ya Senti inayoingia katika mifuko yao
Ndio sababu hakina dira Wala muelekeo, hakieleweki kinasimamia Nini na Hakina wakukipa muelekeo kwa kuwa wanaopaswa kuonyesha njia nao pia walishapoteza Ramani na Dira hivyo wamebaki wanaburuzana tu kwa kila mtu kujifanya anaijuwa njia huku ikionekana wazi kinaelekea korongoni ambako hakitaweza kujinasua.
Hongera Sana kwa CCM na serikali ya CCM kwa namna ilivyohangaika tangia kutokea kwa ajari hii mpaka Leo hii, ninampongeza Sana Rais wangu mama Samia kwa maelekezo yake na naamini uchunguzi ukikamilika utawekwa hadharani ili kubaini chanzo Cha ajari hii
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Lete ushahidi.Chadema inaeneza uongo
Nonsense.Ndugu zangu katika Ajari ya Ndege Iliyotokea Juzi imeonyesha Kwanini CCM imeendelea kuaminiwa na watanzania katika kila uchaguzi mpaka leo hii, CCM imeonyesha sababu za wananchi Kuendelea kuwa na Imani nayo,CCM imeonyesha sababu ya watanzania kuipigania na kuilinda kwa nguvu zao zote na kwa gharama zote kuhakikisha CCM Inaendelea kuwepo madarakani
Wakati CCM imeonyesha kuguswa ,kuumizwa,kuhuzunishwa,kusikitishwa na ajari hii iliyochukua uhai wa watanzania wenzetu ,Wao CHADEMA wameonekana kukifanya suala hili kuwa la kisiasa na mtaji wao katika kipindi hiki Cha majonzi, wakati CCM imejikita katika kuunganisha Taifa na watanzania wote, kuwaombea majeruhi kupona haraka, kufika eneo la tukio kutoa msaada wa kibinadamu kwa wahanga, Wao CHADEMA ni Kama imekuwa furaha kwao, Ni Kama wamepata Cha kuongea, Ni Kama walitamani wapoteze wote maisha ili wapate vya kuongea wiki nzima,Ni Kama walikuwa wanasubiri vya kupost kwenye kurasa zao, Ni Kama walikuwa Kama mafisi wanaosubiri mkono udondoke waokote, hawakufurahishwa na habari za uokoaji wa abiria takribani 26
Chadema imekuwa na Tabia Kama za mchawi anayeweza kuuwa hata mwanaye, Hawafurahishwi Wala kupenda kusikia habari za Rais wetu kuagiza kupewa ajira kwa kijana Majaliwa, wao Ni kupinga pinga kila kitu, wakati CCM inahangaika na wahanga kuwasaidia, wao wanahangaika kuitisha mikutano na waandishi wa Habari kuropoka utoto na ujinga
Cha kusikitisha Ni kuwa CHADEMA Tangia kisajiliwe kwake miaka ya 90 mwanzoni lakini mpaka Leo kimeshindwa hata kupaka tu Rangi katika ofisi zao, wameshindwa hata kubadilisha madirisha ili yaweze kupitisha hewa vizuri wanapokuwa wamerundikana mule ndani,wameshindwa hata kubadilisha milango ikawa na muonekano mzuri, Hata pa kuweka Bendera tu wameshindwa kupaweka katika muonekano mzuri, kimekuwa Ni chama Cha kitapeli na Cha matukio, kinabaki Ni chama Cha kutafuna Ruzuku na kila aina ya Senti inayoingia katika mifuko yao
Ndio sababu hakina dira Wala muelekeo, hakieleweki kinasimamia Nini na Hakina wakukipa muelekeo kwa kuwa wanaopaswa kuonyesha njia nao pia walishapoteza Ramani na Dira hivyo wamebaki wanaburuzana tu kwa kila mtu kujifanya anaijuwa njia huku ikionekana wazi kinaelekea korongoni ambako hakitaweza kujinasua.
Hongera Sana kwa CCM na serikali ya CCM kwa namna ilivyohangaika tangia kutokea kwa ajari hii mpaka Leo hii, ninampongeza Sana Rais wangu mama Samia kwa maelekezo yake na naamini uchunguzi ukikamilika utawekwa hadharani ili kubaini chanzo Cha ajari hii
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Hii inaonyesha kiwango Cha uwezo wako Mdogo wa ku-analyse issues kama hizi. Hivi wewe huoni udhaifu wa vyombo vya serikali ya Chama chako. Usifanye Watanzania wote kuwa ni wajinga!Ndugu zangu katika Ajari ya Ndege Iliyotokea Juzi imeonyesha Kwanini CCM imeendelea kuaminiwa na watanzania katika kila uchaguzi mpaka leo hii, CCM imeonyesha sababu za wananchi Kuendelea kuwa na Imani nayo,CCM imeonyesha sababu ya watanzania kuipigania na kuilinda kwa nguvu zao zote na kwa gharama zote kuhakikisha CCM Inaendelea kuwepo madarakani
Wakati CCM imeonyesha kuguswa ,kuumizwa,kuhuzunishwa,kusikitishwa na ajari hii iliyochukua uhai wa watanzania wenzetu ,Wao CHADEMA wameonekana kukifanya suala hili kuwa la kisiasa na mtaji wao katika kipindi hiki Cha majonzi, wakati CCM imejikita katika kuunganisha Taifa na watanzania wote, kuwaombea majeruhi kupona haraka, kufika eneo la tukio kutoa msaada wa kibinadamu kwa wahanga, Wao CHADEMA ni Kama imekuwa furaha kwao, Ni Kama wamepata Cha kuongea, Ni Kama walitamani wapoteze wote maisha ili wapate vya kuongea wiki nzima,Ni Kama walikuwa wanasubiri vya kupost kwenye kurasa zao, Ni Kama walikuwa Kama mafisi wanaosubiri mkono udondoke waokote, hawakufurahishwa na habari za uokoaji wa abiria takribani 26
Chadema imekuwa na Tabia Kama za mchawi anayeweza kuuwa hata mwanaye, Hawafurahishwi Wala kupenda kusikia habari za Rais wetu kuagiza kupewa ajira kwa kijana Majaliwa, wao Ni kupinga pinga kila kitu, wakati CCM inahangaika na wahanga kuwasaidia, wao wanahangaika kuitisha mikutano na waandishi wa Habari kuropoka utoto na ujinga
Cha kusikitisha Ni kuwa CHADEMA Tangia kisajiliwe kwake miaka ya 90 mwanzoni lakini mpaka Leo kimeshindwa hata kupaka tu Rangi katika ofisi zao, wameshindwa hata kubadilisha madirisha ili yaweze kupitisha hewa vizuri wanapokuwa wamerundikana mule ndani,wameshindwa hata kubadilisha milango ikawa na muonekano mzuri, Hata pa kuweka Bendera tu wameshindwa kupaweka katika muonekano mzuri, kimekuwa Ni chama Cha kitapeli na Cha matukio, kinabaki Ni chama Cha kutafuna Ruzuku na kila aina ya Senti inayoingia katika mifuko yao
Ndio sababu hakina dira Wala muelekeo, hakieleweki kinasimamia Nini na Hakina wakukipa muelekeo kwa kuwa wanaopaswa kuonyesha njia nao pia walishapoteza Ramani na Dira hivyo wamebaki wanaburuzana tu kwa kila mtu kujifanya anaijuwa njia huku ikionekana wazi kinaelekea korongoni ambako hakitaweza kujinasua.
Hongera Sana kwa CCM na serikali ya CCM kwa namna ilivyohangaika tangia kutokea kwa ajari hii mpaka Leo hii, ninampongeza Sana Rais wangu mama Samia kwa maelekezo yake na naamini uchunguzi ukikamilika utawekwa hadharani ili kubaini chanzo Cha ajari hii
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Leta mawazo yako mapya na yakujengaSijawahi kuona tuzo ya Mtu Mjinga!
unafikiri tungefika hapa tukiwa imara Kama tungekuwa na vyombo dhaifu?Hii inaonyesha kiwango Cha uwezo wako Mdogo wa ku-analyse issues kama hizi. Hivi wewe huoni udhaifu wa vyombo vya serikali ya Chama chako. Usifanye Watanzania wote kuwa ni wajinga!
Karibu mkuu kwa mchango wakoNonsense.