Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

Hii tabia ya kuingiza siasa mwenye matatizo ya watu ni ajabu Sana, ndo maana ccm Mungu ameisha ipiga burn, watu wapo KWENYE majonzi familia zimekosa wapendwa wao 19, nyie mnaleta mzaa,

Mpaka Sasa hakuna jipya ccm itawambia watanzania, miaka 60 ya uhuru ndege inavutwa na mikono Sasa Hapa Chadema inaingiaje ? Kwani Chadema ilisha kuwa Madarakani ?
 
Katika suala hili la ajari CCM muda wote ilikuwa na wahanga na kuungana nao katika kuwapa faraja na kuwatia moyo ndugu wa Marehemu katika kipindi hiki kigumu wanachopitia ,ambapo wengine wamebaki Yatima na wengine wajane, Tuendelee kuungana pamoja pale kunapotokea tukio Kama hili linalogusa wote Kama Taifa, Tusilete uchama na siasa Kama walivyofanya Chadema
 
Lucas,unatakiwa ukandikwe makofi mengi hadi ulie ..."maamaa yangu weee ...nisaidieee"...!
 
Lucas,unatakiwa ukandikwe makofi mengi hadi ulie ..."maamaa yangu weee ...nisaidieee"...!
Acha utani mkuu unataka uanze makofi Kama Yale ambavyo chadema wanachapanaga kwenye vikao vyao na vipande vya matofali utafikiri huwa wanaweka mapema mifukoni
 
Unaongea nini wewe, eti ccm ,sema Serikali ambayo ni ya watu wote, inasema ccm , mbona hatukuona uongozi wa ccm Mkoa Hata mmoja wao akivuta kamba KWA mkono?

Wewe unafikili Waziri mkuu , CHALAMILA alikua pale KWA niaba ya ccm au Serikali?

Mnashindwa tambua mipaka ya chama na Serikali , ALAFU mwajiona mko sawa kweli, ccm inawanachama wa ovyo Sana,

Je unajuaje wananchi waliokua wanasaidia kuvuta ndege Kwamba ni wa ccm au wachadema ,na vipi ukikuta wengi ni wanachama wa chadema utasemaje? Na ukizingatia bk Mjini chadema ina wanachama wengi kuliko chama chochote tz.

Usiniulize KWA nini Mbunge wa pale ni ccm wakati mnajua na yeye anajua mliiba kura,
 
Kataa kubali lakini ukweli ni kuwa Lucas Mwashambwa ni member anayedharaulika kuliko wote hapa jf kwa sasa. Sasa kila anayeona thread yake anaidharau na hawasomi tena kwani ni mashudu tupu ya kujikomba kwa Rais. Anaboa sana huyu mtu.
 
katika nchi hii kila kundi lina machaguo yake.

Ccm - wanataka kutawala milele

Chadema - wanataka uhuru wa kuongea tu

wananchi - uzalendo, kujaliwa na kula yao tu na maisha yawe rahisi
 
Eti expert hujui hujuma wanazopitia nyam....u
 
Hakyanan tz bado san kuweza kusonga mbele na kufanya revolution ya maendeleo ya nchi hasa kwa watu wenye akili kama hizi🚮🚮🚮
 

Attachments

  • IMG_20221017_200817.jpg
    103.1 KB · Views: 3
Usipende kila saa kuogea mapovu yetu Lucas, utalaanika.

Tuna Manabii humu.
 
Sidhani kama ccm ina shida, shida ipo kwa watu wanaoongoza ccm, ccm chini ya mwalimu Jk. Nyerere ilikuwa njema.
 
Kwani wazazi wako Ni wazungu, maana umewakosea heshima Hadi wazazi wako walio kuzaa wewe
Sio siasa wala uchawa wewe una roho nyeusi yaani watu waliokufa kwa uzembe mkubwa.Wewe huna tofauti na jambazi anayeua na kunyanganya.
 
katika nchi hii kila kundi lina machaguo yake.

Ccm - wanataka kutawala milele

Chadema - wanataka uhuru wa kuongea tu

wananchi - uzalendo, kujaliwa na kula yao tu na maisha yawe rahisi
Sio siasa wala uchawa wewe una roho nyeusi yaani watu waliokufa kwa uzembe mkubwa.Wewe huna tofauti na jambazi anayeua na kunyanganya.
Mnasikitisha Sana chadema kulifanyia siasa Jambo Kama hili, mmekosa mishipa ya aibu kabisa,mmewasikitisha Sana watanzania waliobakia wanawashangaa kwa kukosa kwenu ubinadamu
 
Mnasikitisha Sana chadema kulifanyia siasa Jambo Kama hili, mmekosa mishipa ya aibu kabisa,mmewasikitisha Sana watanzania waliobakia wanawashangaa kwa kukosa kwenu ubinadamu
ebu weka sawa comment yako mkuu ueleweke kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…