Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

Wakipaka rangi utakosa hoja ya kukufanya uendelee kuishi mjini maana nyie waabudu watawala bila kuishambulia Chadema mambo yenu hayaendi halafu mbona umesahau kuweka namba yako ya simu wakikutafuta watakupataje.
 
Kwahiyo kuacha watu wafie NDANI ya ndege kwa kukosa vifaa vya uokozi ndiyo maana CCM unapendwa.

Kungekua na vifaa vya uokozi na serikali kujali na kuwa siriaz Hakuna abiria angepoteza maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…