Katika bati za ALAF ipi nzuri kati ya versetile na romantile?

Katika bati za ALAF ipi nzuri kati ya versetile na romantile?

kivulini

Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
73
Reaction score
40
Wakuu poleni na majukumu.

Nimejaribu kupitia humu uzi totauti tofauti ila bado sijapata jibu. Naomba kwa anayejua bati nzuri za ALAF Gauge 28 kati Romantile na Versetile ipi nzuri?? Uzingatia huu ukanda wetu unachumvi sana na site yangu haipo mbali sana na bahari.

Natanguliza shukrani zangu kwenu kwani hapa hakika majibu yote yanapatikana.

IMG_20211210_104831.jpg
IMG_20211210_104816.jpg
 
Wakuu poleni na majukumu.

Nimejaribu kupitia humu uzi totauti tofauti ila bado sijapata jibu. Naomba kwa anayejua bati nzuri za ALAF Gauge 28 kati Romantile na Versetile ipi nzuri?? Uzingatia huu ukanda wetu unachumvi sana na site yangu haipo mbali sana na bahari. Hapo kwenye uzuri nazungumzia bora/imara na yenye mwonekano mzuri.

Natanguliza shukrani zangu kwenu kwani hapa hakika majibu yote yanapatikana.
 
Kuna site zimebaki pc 15..gage 28..ni bati nzuri kwakweli,
20211204_160700.jpg
 
Tofauti ni mabonde tu, chukua romantile ya chenga, nazani mita iko kwenye 22k
 
Huo mgongo uwe ni mgongo mpana ITP 5,,, versatile,,, sijui romantile ni urembo wa machoni kwako.wewe chukua bati yeyote inayokupendeza geji 28 hata 30 toka Alaf huwezi juta. Ubora upo pale pale huo ni mkunjo/urembo. Mikunjo ni urembo tuu boss bati galvanized hizo.
 
Versatile Ina kimbiza kwa sasa, romantile ukipata fundi chenga atavujisha nyumba yako, upigaji wake wa misumari unataka umakin sanaa
 
Back
Top Bottom