Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,973
- 2,239
Habari wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada, Kenya tangu enzi KANU hakuna chama cha upinzani kilichofanikiwa kushinda uchaguzi.
Kidemokrasia Kenya na Tanzania hatuna tofauti. Katika nchi zote mbili chaguzi huwa zinakuwa na figisu sana. Tofauti ni kwa Tanzania figisu za Tanzania zinakuwa wazi lakini za Kenya hufanyika kwa kufunikwa.
Najua mtabisha ni bora mkabisha kwa hoja na ushahidi.