Katika context ya Tanzania kiwanda ni nini?

Katika context ya Tanzania kiwanda ni nini?

Kiwanda ni mahali ambapo bidhaa zinatengenezwa kutokana na malighafi ..kinaweza kuwa kiwanda kidogo kama cha kutengeneza tofali,kusaga unga, kusaga mpunga kuwa Mchele na kadharika
Pia kinaweza kuwa kikubwa kama viwanda vya magari, mitambo
 
Kinatakiwa kiwe na ukubwa gani? Au uzalishaji wa extent ipi ili kiitwe kiwanda?
Screenshot_20240807-124333_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom