ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,302
- 2,462
Habari wakuu
Naimani wote mko salama, Mungu anazidi kutuonyesha upendo wake. Nimekuja kwenu kuomba msaada kuhusu duka la vifaa vya watoto.
Kwa muda sasa Mama yangu amekuwa akipenda sana hii biashara, lakini nikawa siwezi kumsaidia lolote kutokana na kipato kidogo, lakini mwaka huu nimesave na nikaona ni wakati bora wa kumfungulia biashara hii pia nimefanya utafiti nikaona fursa ipo
Nimekuja mbele yenu,wazazi, wafanya biashara na wenye uelewa na hii biashara, mnisaidie ushauri wowote na pia bila kusahau orodha ya bidhaa ambazo zisikose dukani
Ninaposema mahitaji ya watoto namaanisha, vitu kama mafuta, sabuni, diapers, vitambaa, maziwa na vingine vingi
Mtaji wangu wa kuanzia ni 2 Milions, mlango wa biashara upo sehemu nzuri tu pembeni ya barabara.
Karibuni wadau mnisaidie kumvusha bimkubwa kwenye ndoto yake.