chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Elimu ya anga naona teknolojia za AI na mahesabu kuchanganuliwa kwa haraka kumekuwa na ugunduzi mkubwa sana kuhusu upatikanaji wa sayari mpya na nyota mpya ambazo ni kama ndoto kwa habari.
Wanasayansi wamegundua moja ya mashimo makubwa nje ya ulimwengu kama yakiwa kwenye galaxy yetu basi ni kufutika sekunde.
Shimo ilo kwa jina black hole TON 618.
Wanasayansi wamegundua moja ya mashimo makubwa nje ya ulimwengu kama yakiwa kwenye galaxy yetu basi ni kufutika sekunde.
Shimo ilo kwa jina black hole TON 618.