Katika hali yoyote, Mwizi sio wa kuonewa huruma

Bajeti ikipita tu anza na huko zilikoelekezwa
Yaani piga kipigo cha mbwa koko
 
Shida itakuwa pale siku wewe au mtu wa karibu yako akisingiziwa ??? Ndo utajua maana ya natural justice
 
Wapuuuzi sana hawa jamaa.. Waliniibia kuku wangu wa kienyeji Banda zima.. Wakaacha vifaranga tu.. Hata sijui walimwachia nani..??
 
Wezi wanaludsha sana nyuma
 
Kuua mwizi sio jambo la muhimu , kuna adhabu ambazo Unaweza kumpatia MTU zikaleta tija.

Siamini fikra duni.


Inategemea .
Kuna wakati mwizi anapaswa kupata ulemavu wa kudumu kama kukatwa mikono.

Lakini Sheria ni zao la wahalifu. Ndio maana wahalifu Wana Kinga kubwa kuliko wale wahanga.

Leo hii mwanafunzi akilawitiwa na mwalimu wake basi ni rahisi kabisa kwa Chama Cha walimu kumwekea wakili na hata kuitisha maandamano ya kumtetea mbakaji lakini hakuna popote utaona wakijitokeza watetezi na kumwekea wakili mtoto alixebakwa . Atajijua mwenyewe. Hata haki Tume ya Haki jinai bado imesimama katika haki za wahalifu bila kusimamia haki za wahanga na Wasimamizi WA Sheria.
Hawakuweka matingira ya kulinda watu wema na wahanga wa uhalifu dhidi ya wabaya.
Hata mawakili wanapenda zaidi kuhakikisha Mhalifu wa dhahiri ameachiwa huru wakati na sio mhanga . Ushindi wa mhaga kwa mawakili ni pigo kubwa sana.
Sheria ni kwa ajili ya watu waovu na zimetungwa na wahalifu au mawakala wao.
Sheria za haki ni zile za Musa pekee chini ya amri kumi kama Sheria Mama. Zingine zote ni za kuwaumiza Wanyonge na kuwabeba wahalifu wakubwa.
 
Kuna uwizi wa aina nyingi
Na kuna kuibiwa kwa aina nyingi
Pia,Ila mwisho wa siku uwizi ni uwizi tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…