Katika harakati za kutongoza/kutongozwa ni jibu gani la ajabu uliwahi kupewa hautosahau

Katika harakati za kutongoza/kutongozwa ni jibu gani la ajabu uliwahi kupewa hautosahau

Ocran

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2017
Posts
1,045
Reaction score
1,365
Katika harakati za kutongoza/kutongozwa ni jibu gani la ajabu uliwahi kupewa hautosahau [emoji28][emoji116]
 
Hapo nipo kidato cha tatu najibiwa"Umekosa kazi ya kufanya mpka umeamua kunitongoza"

Nikamwambia nisamehe maana demu ana pigo za kukutangaza kama umemtongoza

After kama wiki ananitania utani mwingi akaniuliza hivi kunguru unajua kutongoza kweli ?
 
Back
Top Bottom