Wana Bodi suala la Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhamasisha matumizi ya majiko ya gesi limepitishwa na Bunge hili la Bajeti lililomalizika Juni 30.
Kama mnavyofahamu Bunge linasimama kwa niaba ya wananchi na wao ndio wameidhinisha atumie Shilingi Milioni 500 kwa kazi hiyo ya kuhamisha wananchi juu ya umuhimu wa kutumia majiko ya gesi. Hivyo kumlaumu Waziri nadhani tutakuwa tunakosea.
Nimesoma Hotuba yake hicho kipengele cha kutumia milioni 500 kuhamasisha kipo kwa hiyo sio jambo alilolibuni peke yake lina baraka za Bunge.