Katika hili la Ngorongoro tusimame na Serikali

Acheni unafiki mbona Miti imekatwa sana kujenga Bwawa la mwalimu Nyerere ila hamkupigania hizo ecosystem za viumbe hai au miti ambayo ni essential kwa maisha ya binadamu. In fact wote waliotetea viumbe hai mliwaita vibaraka wa mabeberu.

Mliangalia faida za kiuchumi pekee na kupotezea issue za viumbe hai. Ila binadamu wenzenu wakiwa relocated kwa mabavu mnaona ni sahihi sababu tu hawana impact kiuchumi!!

Swali mlitakiwa kujiuliza ilikuwaje on the first place mkawapa hadi makazi ndani ya hifadhi?

Then sio kweli kuwa wanyama hawawezi kuishi kokote!! Mbona mlihamishia wanyama kule Burigi na maisha yanaendelea? Mbona game reserve zipo nyingi tu ambazo zinahitaji wanyama!! Msipende kujilimit mawazo wakati options zipo kibao.
 
Sheria ya ardhi ya Tanzania unaijua?

Ingekua watu wanakaitalia serikali kuachia ardhi, nchi hii kungekua na maendeleo au miradi na miundombinu yyte?
Mtu anayekimbilia Sheria huwa namshangaa sana kwani Sheria ni constant kwamba haiwezi kuwa na exceptions Wala extent? Ama kufanyiwa ammendments!! Mbona Sheria za madini zilisema mchanga ni wa beberu ila mkabadilisha?

Hakuna anayepinga per se wamaasai Kuhamishwa ila kutumia mabavu ndio inapingwa hao wamaasai mtawahamisha then wakianza vamia mashamba kulisha mifugo tena mtakuja hapa kusema Vita za wakulima na wafugaji zikemewe!!

Haya mambo ni diplomasia tu sio mabavu hata Amazon kuna makabila lukuki yanaishi na yanalindwa na Sheria za kibunge!!! Kuweni wabunifu you can as well partition or open a parallel game reserve to accommodate the threatened species na Bado ikawa win win situation
 
Kuwa na akili ata kidogo bas
 
Akili za UVCCM Bhana zinachekesha sana
 
Kama mkenya anaingia mpaka kwenye siasa na anakuwa Diwani tena wa chama tawala basi hii ni tatizo jingine. Kwamba hiki chama kimeshindwa kutuongoza kipishe
 
Tujifunze wana GEN Z TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…