Katika hili mke alistahili kupata mgao?

Katika hili mke alistahili kupata mgao?

Makonyeza

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
72
Reaction score
261
Mimi huwa naiona sheria kama lidudu fulani baya hivi, ukiliendekeza lazima likuume.

Huwa haliwaachi watu salama, lazima limpendelee mmoja kati ya wawili wanaoshindana kwa kisingizio cha haki, na huwaacha hawaelewani, yaani huwachonganisha.

Na kumbe kama ingetumika Suluhu kila mmoja angepata hata kama kidogo lakini wakabaki na maelewano kwa faida Yao na kizazi Chao.

Bahati mbaya sana hatuwezi kuishi bila ya Sheria.

Najua huelewi ninachomaanisha kwa kuwa unalazimisha kuoanisha nilichoandika na hiyo picha, lakini kuhusu picha hiyo na habari yake ebu jaribu kushauri, mke/mtalaka alistahili mgao?

IMG-20220218-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom