Katika hili nakubaliana na Chadema, Ushujaa ni kufia vitani ukiwa Jeshini au mhudumu wa afya akiwa hospitali anatibu lakini siyo bungeni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.

Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomvhagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.

Maendeleo hayana vyama!
kama inatoka rohoni, leo nahamia CCM! Au tuanzishe chama chetu.
johnthebaptist , hata common sense dictates that! kama MKUU WA NCHI KAJICHIMBIA kijijini, wewe nani uwe na nyongo ya kuhimili kifo wakati nchi inaweza kuendeshwa bila kupanga bajeti? Mbona mtu fulani anachota ananunua mandege bila bunge?
 
Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.

Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.

Maendeleo hayana vyama!
Manesi na madakitari endeleeni kuokoa maisha yetu
 
"Tatizo watu wanafikiri aliyewashauri chadema ni chadema wenyewe wakati watu wa ndani ya system ndio wanataka iwe hivyo kwa bunge lote na wameanzia kule upande wa pili" baada ya kuona upande wa uku haushauriki.
System hii ya chini ya ccm ndio chadema mnaisikiliza?

Basi hatuna upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.

Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.

Maendeleo hayana vyama!
Heri yako wewe Yohana umefunguliwa macho na kuliona jambo hilo kwa undani bwashee, kwa kuwa ndani ya gonjwa hiliv la COVID-19 hakuna siasa wala mbwembe, na ukijipendekeza tu linakuzinguwa mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.

Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.

Maendeleo hayana vyama!
Ni ujinga tuu Mtu kufia bungeni kama sio uroho wa posho ndio utawatoa roho hawa vihiyo. Wakati Pesa za manunuzi ya ndege na ujenzi wa uwanja wa ndege Chato hazikupitishwa na Bunge na serikali imetumia pesa hizo bira ridhaa ya bunge kuna haja gani wew ukafia huko?

Hakuna Mwananchi aliye mtuma mbunge akafie Bungeni. Sisi wananchi wenyew tunaepuka mikusanyiko isiyo ya lazima. Bunge linaweza kufanya vikao kwa mitandao au hata kuahirishwa mpka wakati usalama wa Wabunge unapokuwa mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naamini ewe Yohana Mbatizaji sio katika hili tu, kwa sababu kwa kupitia maandiko yako nashawishika kuamini kwamba wewe ni miongoni mwa wana-Lumumba wachache wanaojitambua hapa JF!

Au inawezekana wewe ni mwana-Lumumba Halisi manake hivi sasa JF sio kila anayeisifia serikali na Jiwe ni mwana-Lumumba Halisi bali wengi wanasifia mtu... "Rais ni mtu wa nyumbani" na kuna wale wanaosifia kutetea matumbo yao!!

Hawa wanaosifia kwa sababu Rais ni wa nyumbani ndio tatizo kubwa nchi hii, manake hawana itikadi hawa!! Hawa wakisikia Rais anatangaza Makao Makuu ya nchi yanahamishiwa Chato, watashangilia kweli kweli na kumpongeza Rais wa Watu kwa sababu hawana wanachowaza zaidi ya "umimi?"

Kinyume chake, hakuna mwana-Lumumba mwenye akili timamu anayeweza kushangilia au kuunga mkono upuuzi kama huo!

Na wengi wa hawa wanaounga mkono kila kitu kwa sababu ya "mtu wa nyumbani", miongoni mwao walikuwa wafuasi wazuri tu upinzani kabla "mtu wa nyumbani" hajatangaza nia na hatimae kuingia madarakani!
 
Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.

Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.

Maendeleo hayana vyama!
Jana waliobaki bungeni walisema "Watafia vitani", nikawauliza vita tuliyonayo kama Taifa na Dunia kwa sasa ni Corona, haya nionesheni silaha mnazotumia kupigana vita hii zaidi ya maneno na bla bla, hakuna aliyenijibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.

Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.

Maendeleo hayana vyama!
Hao wanaccm kwenye hela ndio wanaita vitani.
 
Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October

Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani

Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali

Chini ya awamu hii ya tano hakuna uchaguzi, bali kina ujinga wa mtu mweusi kwenye uchaguzi.
 
Back
Top Bottom