johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
kama inatoka rohoni, leo nahamia CCM! Au tuanzishe chama chetu.Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomvhagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe lini uliwahi kuiongelea mema CHADEMA mpaka leo uthubutu kusema wamekusaliti?Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October
Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani
Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
🖕Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October
Sisi tuliowapigia kura tupo mtaani tunahangaika mtaani
Wao wakufungia ndani? Hii ni sawa! No hatukubali
Manesi na madakitari endeleeni kuokoa maisha yetuMaisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.
Maendeleo hayana vyama!
Amina!Manesi na madakitari endeleeni kuokoa maisha yetu
System hii ya chini ya ccm ndio chadema mnaisikiliza?"Tatizo watu wanafikiri aliyewashauri chadema ni chadema wenyewe wakati watu wa ndani ya system ndio wanataka iwe hivyo kwa bunge lote na wameanzia kule upande wa pili" baada ya kuona upande wa uku haushauriki.
Huyo ni CDM au mlumumba mwenzio?yaani mnakurupuka mpaka mnakanyagana wenyewe kwa wenyeweSystem hii ya chini ya ccm ndio chadema mnaisikiliza?
Basi hatuna upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri yako wewe Yohana umefunguliwa macho na kuliona jambo hilo kwa undani bwashee, kwa kuwa ndani ya gonjwa hiliv la COVID-19 hakuna siasa wala mbwembe, na ukijipendekeza tu linakuzinguwa mbaya.Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.
Maendeleo hayana vyama!
Ni ujinga tuu Mtu kufia bungeni kama sio uroho wa posho ndio utawatoa roho hawa vihiyo. Wakati Pesa za manunuzi ya ndege na ujenzi wa uwanja wa ndege Chato hazikupitishwa na Bunge na serikali imetumia pesa hizo bira ridhaa ya bunge kuna haja gani wew ukafia huko?Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.
Maendeleo hayana vyama!
Jana waliobaki bungeni walisema "Watafia vitani", nikawauliza vita tuliyonayo kama Taifa na Dunia kwa sasa ni Corona, haya nionesheni silaha mnazotumia kupigana vita hii zaidi ya maneno na bla bla, hakuna aliyenijibu.Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.
Maendeleo hayana vyama!
Hao wanaccm kwenye hela ndio wanaita vitani.Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio katika hatari ya kupata maambukizi wakati wakiokoa maisha ya watu walioathirika.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October