Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Zamani nlikuwa namwona Fiq Q ni mmoja ya wasanii wanaojielewa....nlidhani kichwani ana akili. Fid Q kama upo humu. Kwa kweli nlikuwa namkubali sana..
Ila hili sakata la Steve Nyenyere limenishtua ni kunifanya nigundue kumbe hamna kitu kichwani. Yaani kwa Mistari ya Fid Q ilivyo ya kigumu ya Kibabe huwezi tegemea anaweza mui endorse Steve mtu ambaye si makini,kichwani mtu na hana alijualo katika Music.
Pi nimekuja kuona wana hip.hop wana tapata sana hasa huyu fid q ambaye hata Steve alimchana kuwa ni kwa vile music wake haupendwi sana.hana umaarufu. Hapo nlikuwa namsikilia Steve anaongea Fid Q yupo nyuma yake kama zezeta anatikisa kichwa. Yaani leo Fid Q anakuwa mfuasi wa Steve?