Katika Historia ya Ottoman Empire Mihrma Sultan aliolewa na Rustem Pasha

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Hawa ni Wanandoa ambao waliishi katika himaya ya Ottoman huko Uturuki katika miaka ya 1500

Rustem Pasha alifariki akiwa na miaka 61 na Mihrma Sultan mtoto wa Sultan The magnificent alifariki akiwa na miaka 56

[emoji116] Mihrma Sultan



[emoji116] Rustem Pasha



[emoji1][emoji1]

Sasa tukirudi kwenye ile Tamthilia yetu watu ambao mnadhania Hurrem Sultan atakwama kumuodhesha mwanae kwa Rustem kinguvu sahauni hilo, filamu hii inaenda sambamba na Historia ya kweli ya Himaya ya Ottoman ambayo watu wote walio kwenye ile tamthilia waliwahi kuwepo hivyo ni marudio ya Historia tu.

Historia ya Ottoman inatuambia kuwa Mihirma na Rustem waliishi kama wanandoa hadi kifo kilipowatenganisha............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naweza kuipata wapi historian hii kwa ukamilifu?
 
Mkuu naweza kuipata wapi historian hii kwa ukamilifu?
Ingia wikipedia mkuu yote unayoyaona pale ni historia ya kweli kabisa, yani ukiingia wikipedia ukasoma unaweza usiitamani tena ile tamthilia maana utaona kama ni marudio tu, swala la hurem kumuodhesha mwanae kwa rustem kwa madhumuni ya kisiasa na maslahi yake ni ya kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…